Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Malizia, siku za mwisho ni hizi au zimekaribia sanaTuendelee KUTUBU na kuiamini injili wakuu....
Ndio hizi..... mkuu wakati wowote panda inalia!Malizia, siku za mwisho ni hizi au zimekaribia sana
" Injili ni uwezo wa Mungu uletao wokovu"
Bado injili haijahubiriwa kwa kila kiumbe, watu wanafkiri injili ni kitabu fulani kumbe ni uwezo wa Mungu kuokoa.Ndio hizi..... mkuu wakati wowote panda inalia!
Ndio tuko tunahubiri hata humu JF tunasubiriBado injili haijahubiriwa kwa kila kiumbe, watu wanafkiri injili ni kitabu fulani kumbe ni uwezo wa Mungu kuokoa.
Wengi wameharibikiwa tu.Wapo Ndoa imewainua na kufanikiwa zaid.
Wapo ndoa pia imewaharibia future na kuwaacha hovyo.
Bila shakaMkuu Kuna vitu haviwezi kutokea ikiwa bado HUJAOA.ukioa tu vitatokea navyo ni mwanga na Giza...Sasa ufahamu wako ndio utakao amua mungu akufanyie vipi
Umenena vyema kabisa mkuu, kifupi ndoa sio kitu cha kufuata mkumbo au kumshinikiza mtuWapo Ndoa imewainua na kufanikiwa zaid.
Wapo ndoa pia imewaharibia future na kuwaacha hovyo.
Kwa maana hiyo lengo ilikuwa kumtumia Daudi kuua wafilisti?Hukumalizia ulichosoma, na umekuleta nusu. Mtego wa ndoa ya Daudi kwa Mikhali, mtoto wa mfalme Sauli haukuhusu ndoa, wala mstakabali wa ndoa. Haukumhusu Daudi na Mikhali, ulimuhusu Daudi na Sauli. Ni hivi, baada ya Sauli kujaribu kumuua Daudi mara kadhaa bila mafanikio, aliona anaweza kumtega kifo kwa mkono wa Wafilisti. Akijua kabisa Daudi angeshindwa kulipa mahali ya level za kifalme, alitaka Daudi alipe mahali ya govi mia za Wafilisti. Maana yake, aende akaue wanaume mia, akate govi zao, apeleke kwa mfalme. Sasa imagine uende ukaanze kuua wanaume, wawe wanakuchekea tu mpaka wanafuka 100!!! Na cha kushangaza zaidi, Daudi alilipa govi 200
Lengo lilikuwa ni kuwatumia Wafilisti kumuua Daudi.Kwa maana hiyo lengo ilikuwa kumtumia Daudi kuua wafilisti?
Sawa mkuuLengo lilikuwa ni kuwatumia Wafilisti kumuua Daudi.
So, huo siyo mtego?Hukumalizia ulichosoma, na umekuleta nusu. Mtego wa ndoa ya Daudi kwa Mikhali, mtoto wa mfalme Sauli haukuhusu ndoa, wala mstakabali wa ndoa. Haukumhusu Daudi na Mikhali, ulimuhusu Daudi na Sauli. Ni hivi, baada ya Sauli kujaribu kumuua Daudi mara kadhaa bila mafanikio, aliona anaweza kumtega kifo kwa mkono wa Wafilisti. Akijua kabisa Daudi angeshindwa kulipa mahali ya level za kifalme, alitaka Daudi alipe mahali ya govi mia za Wafilisti. Maana yake, aende akaue wanaume mia, akate govi zao, apeleke kwa mfalme. Sasa imagine uende ukaanze kuua wanaume, wawe wanakuchekea tu mpaka wanafuka 100!!! Na cha kushangaza zaidi, Daudi alilipa govi 200