Hii ni nzuri mno maana ukaribu baina yao ni mkubwa,mnajuana kwenye kila kitu na inachochoea ngono ya ukaribu sanaMnaamka wote pamoja asubuhi, mnaenda kwenye ofisi yenu pamoja kwenda kuzitafuta.
Mnashinda pamoja mkipambana na maisha, mkisaidiana mawazo na nguvu.
Jioni mnarudi pamoja nyumbani, mmechoka lakini mioyo yenu ina furaha kwa sababu mmekuwa timu siku nzima.
Hakuna ndoa nzuri kama ile ambayo mke na mume wanakuwa washirika wa maisha na utafutaji. Inapunguza sana nafasi ya kucheat, kuchokana, drama zisizo na maana, na kutokuelewana.
Mnaelewana zaidi, mnajuana zaidi, na mnajenga ndoto zenu pamoja.
Ndoa inakuwa sio tu mapenzi, bali pia urafiki, ushirikiano na safari ya pamoja ya m
Ukaribu unawafanya mjue maisha ya mwenzako kwa undani zaidi hadi changamoto ambazo wengi huziweka siri. mawasiliano yanakuwa rahisi na mnaendelea kujenga malengo yenu kama timu. 🤝Hii ni nzuri mno maana ukaribu baina yao ni mkubwa,mnajuana kwenye kila kitu
Kwanini?Jidanganye
Mke hatakiwi kujua pesa unaipata kiasi gani na wala unaipata vipi
Utadharaulika ndugu mke akishajua unapata 6M kwa mwezi atatafuta anopata 8M mna w.ke wameumbwa kitamaa zaidiKwanini?
Dadavua
Mkiwa mnazitafuta pamoja risk ni ndogo sana ila ukiwa unamwacha kila asubuhi unarudi usiku au anakuja kwenye biashara kufunga hesabu tu na ajue unaingiza sh ngapi ndio mawazo huja, anaachiwa elf 10 kwa siku wakati unaingiza milioni 5 kwa mwezi kwanini asichukue kila kitu awe huru, tayari kashazoea kuwa peke yake karibia masaa 12 kila siku na labda ana mwanaume mwengine anamshawishi akupige tukio wale mali pamojaJidanganye
Mke hatakiwi kujua pesa unaipata kiasi gani na wala unaipata vipi
Tatizo lako nishalijua ww unaogopa kupigiwa bila ya shaka itakua na ww una tabia hiziMkiwa mnazitafuta pamoja risk ni ndogo sana ila ukiwa unamwacha kila asubuhi unarudi usiku au anakuja kwenye biashara kufunga hesabu tu na ajue unaingiza sh ngapi ndio mawazo huja, anaachiwa elf 10 kwa siku wakati unaingiza milioni 5 kwa mwezi kwanini asichukue kila kitu awe huru, tayari kashazoea kuwa peke yake karibia masaa 12 kila siku na labda ana mwanaume mwengine anamshawishi akupige tukio wale mali pamoja
Tuache mate pembeni tutumie wino, fuatilia mifano halisi tu ya ndoa za kihindi na kichina, mke na mume wanahaso pamoja, takwim zinaonyesha wenye ndoa hizi wana kiwango kidogo sana cha ndoa kuvunjikaTatizo lako nishalijua ww unaogopa kupigiwa bila ya shaka itakua na ww una tabia hizi
Kwaio mabaharia wawachukue wake zao miaka huko melini?
Wazee wangu wameishi pamoja mpka mama kufariki ndo mwisho wao na mama alikua ni mama wa nyumbani tu mzee alikua hakauki kusafiri na mbona hawakuachana?Tuache mate pembeni tutumie wino, fuatilia mifano halisi tu ya ndoa za kihindi na kichina, mke na mume wanahaso pamoja, takwim zinaonyesha wenye ndoa hizi wana kiwango kidogo sana cha ndoa kuvunjika
Mkuu sasa hao ni mama zetu wa enzi hizo walikuwa wamefundwa vizuri, adabu ilikuwepo kuanzia ndoa hadi kulea watoto.Wazee wangu wameishi pamoja mpka mama kufariki ndo mwisho wao na mama alikua ni mama wa nyumbani tu mzee alikua hakauki kusafiri na mbona hawakuachana?
Sema ww una tabia zako pembeni ndo mna unaogopa .....
Acha ujinga weweHii ni nzuri mno maana ukaribu baina yao ni mkubwa,mnajuana kwenye kila kitu na inachochoea ngono ya ukaribu sana