cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
HaswaaaTuache mate pembeni tutumie wino, fuatilia mifano halisi tu ya ndoa za kihindi na kichina, mke na mume wanahaso pamoja, takwim zinaonyesha wenye ndoa hizi wana kiwango kidogo sana cha ndoa kuvunjika
Na hapa kwetu wapo baadhi ya wakinga utawakuta madukani na wake zao, ni ngumu kuja kusikia wameachana, naongea kwa experience kabisa