Ndoa nzuri ni ambayo mke na mume hushinda wote kwenye utafutaji na kurudi pamoja nyumbani

Haswaaa
 
Mada nzuri. Kwa upande mwingine mkeo akishirikiana na wewe kwenye utafutaji, na wewe ushirikiane naye kwenye shughuli za nyumbani. Kama kwa pamoja mmedamka alfajiri mkaingia kazini, mnaporudi jioni au usiku mshirikiane pia kwenye kazi kama kufanya usafi, kupika nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…