Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashoga wenyewe wanaoana.Mashoga lazima wapinge ndoa
Hahaha! Daaa! hoja ngumu sana hii kujibiwa.Mungu yupi aliye anzisha ndoa ? Naye ali muoa nani ?
Kwa hoja hii, acha wanaopinga ndoa waendelee kuipinga tu.Yaan MUNGU alitupa bonge la upendeleo kwa kuanzisha ndoa....una mmiliki mtu kama unavyomiliki mali yeyote
Hakuna mahala umeambiwa na huyo Mungu kuwa uoe, muache kutumia kichaka cha dini kuwatishia watu wakati huo hamuwezi kuprove mnachowatisha.Ndoa mwanzilishi ni Mungu.kukataa ndoa ni kumkataa Mungu..Ndoa idumu
Wap Mungu alifungisha ndoa?Ndoa mwanzilishi ni Mungu.kukataa ndoa ni kumkataa Mungu..Ndoa idumu
Moja ya vitu vinavyokuja vyenyewe hasa kwa sisi ME ni ndoa.TEAM NDOA VS TEAM USIOE
Mjadala huu mkali umeshika kasi huku kila upande ukitoa sababu zake! Kabla hujaamua uunge mkono upande upi ni vyema ukajitafakari na kuona Kama uamuzi wako binafsi una mantiki na manufaa kwako.
NDOA NI KWA AJILI YA NANI?
Ukipata majibu ya swali hili utaelewa maana halisi ya ndoa. Ndoa ni kwa ajili ya mke na Mume. Watu wengi hufikiri ndoa ni kwaajili ya mwanamke na mwanaume!! Ni "mume " tu ndiye anayeweza kuishi na "mke "katika ndoa.
Hata katika maandiko imeandikwa apataye mke apata kitu chema,...
Hawajaandika apataye "mwanamke "maana wanajua kabisa kuwa Siyo kila mwanamke anafaa kuwa "mke "!!
Kosa kubwa ni Mume anapooa "mwanamke "akifikiri ni "mke "au "mke "anapoolewa na "mwanaume " akidhani kwamba ni "mume ".Ndoa ya aina hii itakuwa ngumu Sana!
JE NIOE /NISIOE?
hili litategemea Kama wewe ni "mume " au mwanaume, wa kwanza (mume) anapaswa kutafuta mke amuoe. Lakini ukijijua wewe ni mwanaume na hauko tayari kuwa "mume " tafadhali usituhangaishe na michango! Tulia na uishi maisha yako maana ndoa ni kwa ajili ya Mume na mke!
JE TUWALAUMU WANAOKATAA NDOA?
HAPANA !Lazima tukubali tofauti zetu! Mfano hatutegemei kuwa na Padri "mume " tunategemea wawe wanaume vivyo hivyo kwa masista. Ukiacha hawa kuna wanawake ambao maisha yote hawawezi kuwa "wake " ,ila wanaweza kuwa wanawake wa shoka (super woman) Usishangae kuona Super woman wengi ndoa zao ziko chali ni sababu hiyo hapo juu! KUWA SUPER WOMAN HAKUKUFANYI KUWA SUPER WIFE [emoji3]
NAKALA KWA Robert Heriel na Mshana Jr nawasilisha
Si nimeonaUmejuaje kwamba ni raha?
Ngoja niiwekeWeka poll
Weka stori zisiwe mingiNgoja niiweke