Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Mimi naonaga mara mia mwanamke wa kiganda..utapiga zako katerero weee
 
Hata mimi Nimeona hapo ikabidi nipige kimya, watized tukio wanafiki mbaya kabisa.
Mkenya hana unafiki na. Kila kitu yupo muwazi hawana kona kona, wao wapo bize na bizness all the time
Kabisaaa dear.
 
Duh alikiba so mwenzako shekhee. Ali Ana hela na Ana shida kubwakubwa tu
 
Hawa harusi yao si ndiyo ilirushwa live

Ova
Tunaomba na talaka irushwe live,nilikutana na dada mmoja ughaibuni anarubuniwa aletewe mume wa kitanzania na watanzia wahuko nikamuambia unaleta matatizo wanaume wa kitanzania wanawezana na dada zao wakitanzania wewe mgeni utakufa bure
 
Tunaomba na talaka irushwe live,nilikutana na dada mmoja ughaibuni anarubuniwa aletewe mume wa kitanzania na watanzia wahuko nikamuambia unaleta matatizo wanaume wa kitanzania wanawezana na dada zao wakitanzania wewe mgeni utakufa bure
Hahahaha

Ova
 
Amina ni mzuri sana sijui shida iko wapi

Labda ana tabia mbovu au alikibakuli ni mkorodfi

Au wale ndugu wa kiba walivyo wengi na mama yake inawezekana ikawa chanzo

Abdu kiba ndoa yake iliota mbawa mapema sana saivi ni kaka yake

Anyway mambo yao tumewaachia wenyewe wayamalize
 
Duh Tembo kaoa? Ngoja nirudi mjini aisee.
 
Na hii yako ni chai vile vile.

Mara alikuwa karibu na simu sijui 911.

Story za kutunga zinaonekana btn the lines.
 
Siku ile nikashangaa inawezekana vipi kijana mkubwa kama yule awe anashinda ndani tu wakati mimi nikiwa Advance tu tayari nishaanza kudandia mabasi na kujua uhuni wote wa stendi miaka ya 1996!

Hapo ndipo jibu linakuja Alikiba SI MCHAKARIKAJI
Una Mambo mengi sana bado unahitaji kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…