Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Hivi unaweza ukachukia kitu lakini kila siku unakiwaza na kukiongelea? Uzi unamuhusu Ali Kiba na mkewe kunawatu wanawasema Wachagga. Mtu hujui hata maisha yako yanamuelekeo gani unawaza Wachagga.
Wengine mpo hovyo hovyo mkashindwa kupata wanawake wakichagga mnabaki kulia lia humu.
Wachagga nye nye wachagga nyi nyi nyi. Wachagga ndo waume zenu?
Bora dada umetusaidia kutujibia wengine inakera mimi bro wangu kaoa mchaga yule dada ana roho nzuri sijapata kuona anapenda wazazi wetu ( Baba mkwe na Mama mkwe ) utadhani walimzaa kiufupi familia yetu nzima ni adimu Sana kwa wanawake wengi wanaolewa kuwa na hii tabia
 
Nakuelewa sana. Subiri waje kukuambia bro wako atauwawa kwamba wanawake Wakichagga ni wauwaji. Wakati mkoa wa Kilimanjaro ni kati ya mikoa inayoongoza kuwa na wazee wengi wakiume.
 
Hii issues ingekuwa ya Mondi sasa Mwijaku kishalivalia kibwebwe, Mange na ukurasa mrefu mixer kuwatag watetezi wa haki za binadamu kama alivyofanya kipindi cha hamisa, ila kwa kipenzi chao wapo kimya.

Ila yote kwa yote Kiba kazi anayo Wakenya sio watu wa mchezo, huyo mke wake anaweza kuja mpaka Tanzania kufungua kesi ya ili apate chake, unaweza ukashangaa mpaka mali zake zikauzwe ili mke apate chake. Sasa hiyo mil 4 kwa mwezi bado huku kiba ana watoto wengine kwa wanawake watatu tofauti kudadadeki. Huyo mkenya atataka milioni 4 na bado atataka hela za ada kwa watoto.

Dada zangu wa kibongo kidogo wapole ukiwapa hela ya ada na laki mbili au tatu kwa mwezi fresh, ila hao wa Kenya wana tamaa na wanapenda sana maswala ya Kesi,huyo Amina atakukuruka mpaka kita eleweka.
 
Hilo ni tatizo la kutokujua sheria na haki zao na wala sio swala la upole,.
Dada zangu wa kibongo kidogo wapole ukiwapa hela ya ada na laki mbili au tatu kwa mwezi fresh, ila hao wa Kenya wana tamaa na wanapenda sana maswala ya Kesi,
 
Mademu wa kikenya ni ma gold digger. Wakiona hawapati walichokusudia lazima waanze mbele.
Umenikumbusha tanasha wa diamond alivyotoka nduki baada yakuna hapati alichotarajia toka kwa simba.Alikuwa na target ya umaarufu na mafanikio ya kimuziki kupitia simba.Uzuri watz tupo vizuri pia kwao,huwa tunawachora tu
 
Bora Mondi alivyo ikimbia ndoa la sivyo Tanasha angemuhenyesha mahakamani.
 
Yes ndicho nilichokiongelea wanawake wa kule wana sense ya upambanaji sasa wakikutana na mtu ambaye ni mvivu hawawezi kuishi pamoja
Sasa angekuwa mvivu kama usemavyo angetokaje kimuziki? Hapa bongo kwenye wanamuziki kumi bora utamkosa Kiba kweli??
 
Umenikumbusha tanasha wa diamond alivyotoka nduki baada yakuna hapati alichotarajia toka kwa simba.Alikuwa na target ya umaarufu na mafanikio ya kimuziki kupitia simba.Uzuri watz tupo vizuri pia kwao,huwa tunawachora tu
Tanasha alizaa fasta akijua kila kitu tayri ndoa ipo mlangoni kumbeee eeh.
 
nasubiria tuu hapa baada ya kama miaka mitano naona warembo watakuwa wanasema wee ata kama una mke mie nipo tayari kuwa wa pili so tutakuwa tunapata burudani ya 3some kiulaini....utaku mwendo wa kubonyeza kizenji...mdebwedo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Hivi unaweza ukachukia kitu lakini kila siku unakiwaza na kukiongelea? Uzi unamuhusu Ali Kiba na mkewe kunawatu wanawasema Wachagga. Mtu hujui hata maisha yako yanamuelekeo gani unawaza Wachagga.
Wengine mpo hovyo hovyo mkashindwa kupata wanawake wakichagga mnabaki kulia lia humu.
Wachagga nye nye wachagga nyi nyi nyi. Wachagga ndo waume zenu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka fulani ya zamani kipindi Alikiba anatamba na Cinderella nilikuwa Moro kwenye majukumu ya Kazi sasa jioni nikawa nimetulia maeneo ya home na washkaji wanakata gambe kuna mwana anaitwa Rama ambaye alikuwa rafiki yangu na shemeji yangu kwa dada yangu fulani akanshtua kwa simu kwamba anataka aje nilipo maana amepata taarifa nipo maeneo ambayo yeye yupo..dakika chache tu akafika akiwa na Alikiba na dada yangu katika story story za hapa na pale akanambia Alikiba anamuomba dada yangu awe video queen katika moja ya nyimbo zake ila yeye akakataa nikamwambia sawa uamuzi ni wako kingine ambacho alinambia na ndicho kinanifanya niandike comment hii eti akanambia anajaribu kumzururisha Alikiba na kumpa michongo ya hapa na pale kwa sababu jamaa akiwa kwao anashinda ndani kutwa nzima anaweza asionekane nje hata wiki kila akimoigia simu yupo ndani tu ndio akamwambia basi njoo Moro angalau tupeane kampani moja mbili ndio akaja..Siku ile nikashangaa inawezekana vipi kijana mkubwa kama yule awe anashinda ndani tu wakati mimi nikiwa Advance tu tayari nishaanza kudandia mabasi na kujua uhuni wote wa stendi miaka ya 1996! Hapo ndipo jibu linakuja Alikiba SI MCHAKARIKAJI
Huoni alivyopooza?
 
Back
Top Bottom