Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

Hilo tipwatipwa hata Mm ningeliacha laonekana vivu na lapenda bata sana
Hapana, sio mvivu. Anajitahidi sana kwenye ujasiria Mali. Tatizo lake hana busara zinazohitajika kwa mama....hana kiasi....ana kautoto Toto flan hivi, much know na ni mtu wa show off, ni Binti ambaye hata ikitokea amekunya dhahabu, utakuta kapost mitandaoni amekunya dhahabu
 
Ndio imebaki story aendelee tu na program nyingine
 
unadhani kwa nini ndoa nyingi siku hizi hazidumu? unakuta mkaka kaacha wadada mia na pete zao sasa wanalaani yaani anakuwa hana amani na ndoa anaweweseka tu laana ipo mkuu
Sasa utafanyaje mtu kila mkikutana anazungumzia kuhusu clubs na kujirusha tu!!!? mtu unampeleka supermarket anaanza kuchukua ice cream badala ya kuanza na unga wa ugari!!!?
 
Back
Top Bottom