Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

inauma sana ila kuna tetesi fulan kuhusu huyu *ndoha*
Ila kweli kwa mtindo huu ndio maana watu wanarogwa!!Yaani mpaka mtu anajuwa kabisa kuwa "This is my hubby to be" halafu unakuja kukuta anaolewa mwingine??
 
Labda alimuaga vizuri...ila duh ndani ya miezi ni hubby na anakuwa hubby wa mwingine...inasikitisha

Kujipa promo kumiliki wakati mbaba huyo akikuwa kwake siye...

Huu mzingo ni VOLVO F16, 16 Cylinder ina 4Wheel pamoja na TURBO, Gerald Hando sijui alikuwa anatumia machine yenye HORSE POWER ngapi kufikisha huu mzingo salama
 
Huu mzingo ni VOLVO F16, 16 Cylinder ina 4Wheel pamoja na TURBO, Gerald Hando sijui alikuwa anatumia machine yenye HORSE POWER ngapi kufikisha huu mzingo salama
Hii mizigo mingine haina pumzi na wanawahi kukojoa fasta due to their nature manyamanyama hayo ila huyo dada Alipendewa Pesa tuu Ndoa tunaoa Vimodo yani Haha na anajua kuhonga vizur sana
 
All the Best Gerald safi sana muoe mtu unaempenda kutoka moyoni sio yule anekupost kila saa Insta nae anaonekane ankumiliki kisa she is rich or famous
 
Huu mzingo ni VOLVO F16, 16 Cylinder ina 4Wheel pamoja na TURBO, Gerald Hando sijui alikuwa anatumia machine yenye HORSE POWER ngapi kufikisha huu mzingo salama
Mkuu mtoto mkali sana huyo jamaa sijui kwanini kaamua kuchukua kimbaumbau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…