Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Ohhh.!! Basi sawa.!!Sawa mtumishi, ila nikwambie tu 98% ya ndoa zinazovunjika chanzo huwa ni jinsia yenu sio sisi. Dig deep utapata majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohhh.!! Basi sawa.!!Sawa mtumishi, ila nikwambie tu 98% ya ndoa zinazovunjika chanzo huwa ni jinsia yenu sio sisi. Dig deep utapata majibu
Kuna mdau atakuja kuniambia niteme mate chini....tayari nimetema halafu narudia nilichoandika hapo juu dadeq😂😂😂😂Siku nikiamua kupata mtoto wallah vile siachiki
Yaaaaaani unizalishe afu uniache? Hell no!
Kuna mdau atakuja kuniambia niteme mate chini....tayari nimetema halafu narudia nilichoandika hapo juu dadeq!
Amani ya moyo ni muhimu sana kuliko kuishi kwa mateso kisa watoto. Watoto wanaathirika sana wakiwa na wazazi wenye ndoa zenye matatizo. Ni bora kuachana na kutafuta namna nzuri ya kulea watoto.Mkuu,acha watu wajitoe tu
Binafsi siwezi kuvumilia mwanaume msaliti,kama huwa ananisaliti aendelee hivi hivi nisijue
Case yako pia sijioni nikiwezana na mwanaume mwenye HIV
Kwa maandishi haya ya Wolper inaonekana jamaa anaruka ruka sana mjini na wahuni wanampa taarifa kwa hiyo kaona bora kila mtu aendelee na maisha yake na pia hapo pia inaonekana huyo Mzazi mwenzie mpunga upo ndio maana mazingira ya kuachana ni yale salama ili waendelee kupeana mpunga kwa ajili ya malezi ya watoto wao...
😂😂Jo hiyo inaitwa vita ni vita mura,hachiki mtuSiku nikiamua kupata mtoto wallah vile siachiki
Yaaaaaani unizalishe afu uniache? Hell no!
Kuna mdau atakuja kuniambia niteme mate chini....tayari nimetema halafu narudia nilichoandika hapo juu dadeq!
Kama mwanamke hajui maana ya kuacha....aisee .. haiwezekani...ha ha haUkweli ni kwamba jamaa ataendelea kupiga hapo hadi uzeeni
Kuna tukio ukipigwa, wewe ndo unadai talaka, wewe ndo unaaga mashindano wakati tunakupigia magotiSiku nikiamua kupata mtoto wallah vile siachiki
Yaaaaaani unizalishe afu uniache? Hell no!
Kuna mdau atakuja kuniambia niteme mate chini....tayari nimetema halafu narudia nilichoandika hapo juu dadeq!
Wanawake 🙌🙌🙌Kama mwanamke hajui maana ya kuacha....aisee .. haiwezekani...ha ha ha
Wajinga ni wachache sana,yaan haiwezekani mkuuWanawake 🙌🙌🙌
Lakini wewe Nifah ndiye wa kumtia moyo mwenzko maana nawe ulipitia misukosuko yenye hiyo suraMtonyo sio sababu ya kuvunjika ndoa yao, Rich bado ana mambo mengi ujana mwingi anaruka sana.
Hata ukimsoma vizuri hapo Wolper, utaona kabisa anaongelea hilo mara nyingi.
Kuna tukio ukipigwa, wewe ndo unadai talaka, wewe ndo unaaga mashindano wakati tunakupigia magoti
"Hadi kifo kitutenganishe" 😂😂😂Jo hiyo inaitwa vita ni vita mura,hachiki mtu
Amani ya moyo ni muhimu sana kuliko kuishi kwa mateso kisa watoto. Watoto wanaathirika sana wakiwa na wazazi wenye ndoa zenye matatizo. Ni bora kuachana na kutafuta namna nzuri ya kulea watoto.
Kuna watoto baba na mama wapo pamoja lakini wanapitia mateso makubwa.
Anaachika freshi tu🤣 asijione mwamba wa LusakaKaa tu kimya mdogo wangu. Yaani mtu aamue kukuacha useme huachiki😅😅😅.
"Hadi kifo kitutenganishe" 😂
Mahusiano magumu sanaUnapigwa matukio mpaka unatafta mlango wa kutokea bila shuruti 😁
Ni kweli, ila usikae kwenye ndoa ya mateso kisa watoto. Unaweza ukafa na ukaacha hao watoto.Wazungu huwa wanajitahidi ku-co parent
Hapa bongo asilimia kubwa ndoa ikiwa na migogoro ama wazazi wakiachana kuna namna ugomvi unawafikia watoto