Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

Siku nikiamua kupata mtoto wallah vile siachiki

Yaaaaaani unizalishe afu uniache? Hell no!

Kuna mdau atakuja kuniambia niteme mate chini....tayari nimetema halafu narudia nilichoandika hapo juu dadeq!
Kuna mdau atakuja kuniambia niteme mate chini....tayari nimetema halafu narudia nilichoandika hapo juu dadeq😂😂😂😂
 
Mkuu,acha watu wajitoe tu
Binafsi siwezi kuvumilia mwanaume msaliti,kama huwa ananisaliti aendelee hivi hivi nisijue

Case yako pia sijioni nikiwezana na mwanaume mwenye HIV
Amani ya moyo ni muhimu sana kuliko kuishi kwa mateso kisa watoto. Watoto wanaathirika sana wakiwa na wazazi wenye ndoa zenye matatizo. Ni bora kuachana na kutafuta namna nzuri ya kulea watoto.
Kuna watoto baba na mama wapo pamoja lakini wanapitia mateso makubwa.
 
Una akili mingi sana mkuu
Kwa maandishi haya ya Wolper inaonekana jamaa anaruka ruka sana mjini na wahuni wanampa taarifa kwa hiyo kaona bora kila mtu aendelee na maisha yake na pia hapo pia inaonekana huyo Mzazi mwenzie mpunga upo ndio maana mazingira ya kuachana ni yale salama ili waendelee kupeana mpunga kwa ajili ya malezi ya watoto wao...
 
Siku nikiamua kupata mtoto wallah vile siachiki

Yaaaaaani unizalishe afu uniache? Hell no!

Kuna mdau atakuja kuniambia niteme mate chini....tayari nimetema halafu narudia nilichoandika hapo juu dadeq!
Kuna tukio ukipigwa, wewe ndo unadai talaka, wewe ndo unaaga mashindano wakati tunakupigia magoti
 
Amani ya moyo ni muhimu sana kuliko kuishi kwa mateso kisa watoto. Watoto wanaathirika sana wakiwa na wazazi wenye ndoa zenye matatizo. Ni bora kuachana na kutafuta namna nzuri ya kulea watoto.
Kuna watoto baba na mama wapo pamoja lakini wanapitia mateso makubwa.

Wazungu huwa wanajitahidi ku-co parent
Hapa bongo asilimia kubwa ndoa ikiwa na migogoro ama wazazi wakiachana kuna namna ugomvi unawafikia watoto
 
Back
Top Bottom