na juzi nyingine tu hapa Jay dee alipost picha moja akiwa mwenye huzuni na kama mtu anataka kulia maana machozi yalikua yanalenga machoni na kuweka ujumbe "Sijui Nisemaje"
najaribu kuzidi Ku connect dots.
hahhahahhahaaaaaaaa role model wa marioos wooote ndio kapigwa chini hivyo.......sijui mwaka huu ukoje walah? nadhani ndio mwanzo wa mwisho wa hawa viumbe kupe.....hahhahahahhaaaaaaaaaaaaaaaa.
Siku hizi mupenzi na wewe umo kwenye ufukunyuku na uchokonozi!!
Lakini hivi visa vyote kwa sababu mdada hazai ofcoz
warumi binamu muda kama huu ndio huwa nakukumbuka sana huu ubuyu lazima ungekua na info za kutosha.
Huyo binamu yako kwa nini huwa anapgwa ban kila mara?
Umeonaeeee,ata ww uko vzr kwa ubuyu bora jukwaa lichangamke kidogo
Siku hizi mupenzi na wewe umo kwenye ufukunyuku na uchokonozi!!
Lakini hivi visa vyote kwa sababu mdada hazai ofcoz
kama hii habari ni ya kweli basi wacha nikae kimya kwanza,nitakuja na thread moja nzito.
kama hii habari ni ya kweli basi wacha nikae kimya kwanza,nitakuja na thread moja nzito.
~Inawezekana maana Jide amepost picha yupo na ndugu yake wakazi wanakula bata counter
~Inawezekana maana Jide amepost picha sasa anajiita Bonge ila tangu aachane na G.Habash amenenepa kweli.
~Huu mwaka mbaya kwa mario kuanzia edzen,mziwanda na baba la mario habash.