Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Leo team wema hawalalii
Tatizo la hao mastaa wetu kila mwaka wana-turn 26 hapo hawavuki lol!hahahahaa umeonaeee, yani ni full chereko, ila leo huko insta kumenoga jamani mweee!!!
Tatizo la hao mastaa wetu kila mwaka wana-turn 26 hapo hawavuki lol!
ukiona hivyo ujue Zamu yake badosio wote bwana mbona faraja kota hajawahi kulalamika
Huyu Faiza mie mwenyewe simuelewagi...full kulalamika kuweka maujumbe kibao
Kama mtoto anahudumiwa vizuri inatosha ile miujumbe hata haina maana
sio wote bwana mbona faraja kota hajawahi kulalamika
Anafuata sera za viongozi wake (Mh. Mbowe na Dr. Slaa).