Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

Ndoa ya Joseph Mbilinyi (Sugu) yavunjika, mkewe amlilia

Hahaa mjini mpango akishuka mtu anapanda mtu..pole faiza kubali tu yaishe
 
Huyu Faiza mie mwenyewe simuelewagi...full kulalamika kuweka maujumbe kibao

Kama mtoto anahudumiwa vizuri inatosha ile miujumbe hata haina maana

Kuitwa mke wa muheshimiwa mchezoo...anaitaka hiyo nafasi bado ...km kaharibu mwenyewe na uswahili wake atajiju...insta anatumia jina gani kwani
 
Haya ni maneno mazito ambayo mzazi mwenzake na Sugu, Faiza Ally amefunguka kwenye ukurasa wake wa Instagram



Hapa ni Mh. JOSEPH mbilinyi akiwa na mzazi mwenzake na mtoto wao Sasha

Tuongelee mambo ya kujenga nchi sio kufatilia ndoa za watu kama nasiye tupo barazani tunasukana
 
Mazito ni yepi hapo? mbona ya kawaida sana hayo na hata kama wametengana watarudiana tu maana ukisoma maelezo yamejaa mahaba. Mama analilia mahaba ya mumewe mama anachohitaji ni ushauri nasaha. Baba yupo busy katika kuwakomboa watanganyika hata baba wa taifa alipokuwa busy na hilo mama Maria alipata mateso ya kummiss mmewe. Nashauri akamtembelee Mama Nyerere ampe nasaha. Kazi ya kuwatoa watanganyika kwenye chama cha majangili kuna gharama kubwa, lazima wawepo watu watakaojitolea kubeba gharama hizo na Sugu kajitolea. Mama atulie ukombozi hauko mbali baba anapambana kuwakomboa akina Sasha wengi zaidi na hili litakujamfanya Sasha ajisikie fahari kubwa huko mbeleni tutakapokombolewa kutoka katika mikono ya chama cha majangili.
 
We Ritz we mwanasheria gani? issuebya kapuya ni tofauti na ya Sugu, kumbuka kapuya alituhumiwa kubaka, kisheria, ukibaka ni sawa na kuibaka Jamhuri ndo maana hili ni kosa la Jinai, Issue ya Sugu ni Civil au madai, ukiachana na mke au mume wako haiwi Jinai ni personal issues, kwa mfano, kikwete alipoachana na mke wake jamhuri haikumshtaki lwa sababu jamhuri haishughuliki na issues ambazo ni personal,
 
Chintu

Kweli nimeamini wanachama wa CHADEMA ni misukule.

Kwa akili ya namna hii, mkeo akichepuka na mwenyekiti wako utasema wapo katika ukombozi.
 
Last edited by a moderator:
Huyo Mke hakufundwa Mambo ya Ndani haihusu kuyabwaga Hadharani , hao wanaadamu unaowabwagia yako wana yao Makubwa kuliko yako , si bora wewe Jamaa akigoma kutoa Matumizi utakwenda hata kwa Spika au Global Dunia itasikia ?? wenzio hawana hata pa kukimbilia , Leo Mwanao Bibi we ! unashughulika na nini kwanza maana nakuonaga unatangaza tumbo wazi kutwa !
 
Nyasamaki
Alofundwa anakuwaje? kusema yanayo muuma roho au kasema Sugu Hafai kitandani? mwacheni alilie penzi lake huenda ni njia moja yakumfariji nafsi yake.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Mbelwa
unawezaje kuongelea mambo ya nchi na kuyaacha mambo ya wanasiasa ambao wanajenga nchi?
 
Last edited by a moderator:
Chintu

Watarudina? mama anahitaji ushauri nasaha au baba?
 
Last edited by a moderator:
Jenerali Ambamba
Kapuya alituhumiwa tu , hakubaka na ndiyo maana kesi yake ilikwisha. Sugu anamuacha mke wake wa ndoa, tena yawezekana kwa sababu ya yale yale ya DUBAI, hii haikubaliki kabisa. Namuona kama hafai kabisa kuitwa Mh. tena, kavuliwa nguo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom