Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Very sad. Kanye si alijiunga na dini ya shetani? Amuombe shetani amsaidie kwenye kipindi hiki kigumu
Thubutu shetani yeye ni mzee wa bata tu kelele za msaada kwake hazina nafasi anakutema asubuhi mapema kama hamjuani vile. Nireteeni gwajima.
 
Bey wala hana moyo wa kumvumilia Hov kwa uchafu wake.
Bey kinacho mcost anaish km divah so haitaji skendo au crush, ndo maan anakuwa prop na ndoa.

Yaan kwa uchafu wa Hov hakna mwanamke atavumilia ni vile bas tyuuuh Bey hana namna.
Ndo maana nikakwambia ni mfia ndoa, hawezi chomoka pale, why? ndoa, mke watu[emoji1745][emoji1745]
 
Hapo kwa language, me sijaelewa, niliishia la 4 B
Ukitaka kuelewa hapo kwa language, inabidi ukuje unifuate gheto ukiwa na daftari lako la mistari mikubwa na midogo.

Wewe uje na Kichongeo chako, Kalamu ya kuandikia tayari mimi ninayo.

Kichongeo Chako kitaichonga hii Kalamu Yangu mpaka ichongoke wima, kisha nitaliandika daftari lako na kukufundisha mpaka utaelewa.
 
Hahahahaha wewe ni mwehu Yaan umenifanya nimecheka balaaa
Huwa tunawafatilia ujue ni mastar wakubwa
Sasa ungewakuta kina Nalendwa wanavyosimulianaa habari za queen Wa Uk si ungechoka Yaan wanajua utafikiri wanaishi mle kwenye kingdom ya malkia elizabeth 😂😂
😀 kama vile wanaishi pamoja na Queen Elizabeth II ndani ya Buckingham Palace
 
Ukitaka kuelewa hapo kwa language, inabidi ukuje unifuate gheto ukiwa na daftari lako la mistari mikubwa na midogo.

Wewe uje na Kichongeo chako, Kalamu ya kuandikia tayari mimi ninayo.

Kichongeo Chako kitaichonga hii Kalamu Yangu mpaka ichongoke wima, kisha nitaliandika daftari lako na kukufundisha mpaka utaelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora niendelee kutojua hiyo language.
 
View attachment 1671448

Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian yapumulia mashine na kutaka kutalakiana. Kwa mujibu wa media za Marekani kwa muda Sasa ndoa yao Haina afya nzuri na ilidhoofu kwa kiasi kikubwa mwaka 2020 ambapo mastaa hao wamekuwa wakiishi Kila mtu kwake huku Kim akiwa na watoto

Kwa mujibu wa taarifa Kim hasa ndie anataka waachane baada ya mambo kumshinda ila anataka waachane kwa amani sio migogoro kwani wameshajaribu kwenda mapumzikoni pamoja na hata kwenda kupata ushauri maalum kuipa afya ndoa yao lakini mambo ndio yameonekana kutibuka zaidi Kim tayari ameripotiwa kumchukua mwanamama Laura ambaye Ni mwanasheria maarufu wa migogoro ya mastaa ili aweze kumsaidia suala hilo kuimaliza ndoa kwa amani
Hata hivyo wamejitahidi sana kudumu kwa muda mrefu
 
Duh! Shetani kajibu maombi yake; ameanzia kwenye ndoa. Mwisho wa siku ataitaka roho ya Kanye baada ya kumdhoofisha kila idara. Shetani noma sana.
roho ya nani itabaki milele?
 
Back
Top Bottom