Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imaliziwe imaliziwe. Tunasubkria mkuuWasalaam WanaMMU.
Nyuzi kuhusu ndoa kuwa ni chungu, yenye mateso zimekuwa ni nyingi sana humu jukwaani.
Leo nimeona nitoe Ushuhuda wa maisha yangu ya ndoa ndani ya miaka 8. Kwangu mimi ndoa imekuwa ni baraka sana na yenye furaha.
Watu wengi ambao huwa mnalaumu kuhusu hili huwa najua hamjawahi kuandika thread ndefu humu ndio manaWatu sijui huwa wanaharakia wapi kuweka mavitu yao ya itaendelea....
😂😂😂 Sema jamaa alijitahidi kusimulia na kuimaliza kabisa. Tofauti na kina LwandaMagere na Chizi Maarifa hawakumaliza kabisa story zao.Nasikia harufu ya kuja kuombwa mchango wa kifurushi.
Kama alivyolialia konda msafi kwenye story ya Khumbu, mpaka wana JamiiStory wakapitisha Daftari La Mchango. Story ya Khumbu ilikua na Episod nyingi kuliko hata Etugrul au Sultan, acha kabisa.
Mkuu ukiwa na kisa kirefu ni vyema ukiandike kando kadiri ya urefu wake, halafu unakuwa unaweka episodes zake hapa...Watu wengi ambao huwa mnalaumu kuhusu hili huwa najua hamjawahi kuandika thread ndefu humu ndio mana
Ila kama ushawahi kuandika ni kawaida sana ili kuepusha kupoteza. Ukiandika ndefu sana bila kupost inacolapse na inabidi uanze upya tokea mwanzo. Hamjui tu ugumu wake ndomaana hata sie wengine huwa napost vipande vipande halafu naedit kuliko kurisk kupoteza nguvu bure
Hahahaa nakusoma mkuu unachomanisha na pia sie anatuacha na uraibu.Mkuu ukiwa na kisa kirefu ni vyema ukiandike kando kadiri ya urefu wake, halafu unakuwa unaweka episodes zake hapa...
Kuandika kisa chote pembeni pia kunatoa fursa ya kufanya uhariri
Nasikia harufu ya kuja kuombwa mchango wa kifurushi.
Kama alivyolialia konda msafi kwenye story ya Khumbu, mpaka wana JamiiStory wakapitisha Daftari La Mchango. Story ya Khumbu ilikua na Episod nyingi kuliko hata Etugrul au Sultan, acha kabisa.
Wanazingua sanaHao ndio wazee wa bongo movie mambo ya part 2 part 3 itaendelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hajalazimishwa kuleta simuliziMnapenda story ila mnataka vya bureeeee.. hivi kukaa na kuandika ni jambo jepesi jamani mnafikiri?!