Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka

Hongera sana mkuu. Kiukweli mababu walipokuwa wakichagua mama zetu waolewe na baba zetu waliangalia Mambo mengi Sana yaani Sana kuliko ambao sisi vijana hatuwezi ona.
Sie twaona umbile la nje,sura ,Mara elimu,ama kwao wako poa kumbe future ni uncertainty.

Binafsi jamii yangu ilinifanya niupende huo utamaduni Mana unakutana na watu Wana uzoefu kuliko wewe semaa kisa tu umepata kaelimu ka mzungu Tena unakariri afu unayatapika Kama yalivyo unakiona u Bora na una akili kuliko hao baba,mama,shangzazi,wajomba,Bibi,babu zako ambao wanakupenda ukiwa katika zero level yaani Ile umeanguka uko rock bottom ya sea mkuu.
Hapo wanabakia ni ndugu zako kiukweli,washkaji ni hai na pole wanasepa.
Ila hakuna anayeza kujitoa mfano ukaishi kwake ama achukue wanao awasomeshe ,ama akuuguze wewe Kama ndugu yake wa damu na asione maumivu ya kuwa unamharibia akaunti yake ya benki.


So namie baada ya kumaliza chuo nikarudi home.
Sema sie ni tofauti na nyie. Sie ukipata mdada ukampenda unakuja home unasema wanaanza kumchambua mpaka originality yake ambayo Kama umekutana na manka mjini huwezi jua Koo yake ikoje kikubwa Yale mabaya hakuelezii.
So unaelezewa yote kuhusu wao na Koo Yao so unapima mwenyewe.
Kama hafai pale utaona Ila Kama emotions zimekutawala utabeba haulazimishwi sema wao part Yao wamemaliza.

Pia na wao Kama wanamjua binti na Koo yake watakuambia kuwa akacheki mji Fulani Kijiji Fulani Kuna binti Kama utampenda oa Hana shida huyo.
So usipopenda unarudi Tena unawaambia.

Mie wazee walitoa go ahead. Mana mke wa kuoa sio demu wa night stand na ni mama yako wa uzeeni so sio kukurupuka Sana.

Mpaka saivi naona kweli kila mtu anapewa anachostahili.

Sasa vijana wakishapata ama wakishakariri ambayo wanaume wenzako walivumbua wanavimbaje kuwa hizo ni locals na huku chanjo ya korona tumeshindwa ama sticks tu zatokea kwa watt wa naseri wa uchina.
Watu wa it na cs wanauza cd wanabani wanarusha miziki hawawezi hata ku hack akaunti ya Ontario.

Mkuu kila la heri katika maisha yako
 
Niliishia kula mzigo, ijapokuwa hakuwa bikra ila walau chombo hakikua used sana.

Kitu kimoja ninachokiamini ni kuwa, inawezekana usiweze kujitetea sana lakini bidii yako kamwe haitokuacha. Mwezi mmoja na wiki mbili baadae nilipigiwa simu nirudi kazini. Nikalimwa barua ya onyo. Ukweli ni kuwa, mambo mengi yalikuwa hayaendi.

Nyumbani niliacha mke na wazee, lakini sasa ratiba ikabadilika. Kila Ijumaa jioni naenda nyumbani then Jumatatu alfajiri narudi kuwahi kazini.

Namshukuru sana Mungu, sasa ni baba (original) wa watoto watatu. Alhamdulillah, kazini pia mambo si haba na maisha ni murua sana.

Nilichojifunza ni kuwa, 'our parents always wish us the best'. And if the best is not their option, at least they won't lead you into the worst'.

Wasikilize na upime wanachokitaka. Kama kweli kina mantiki songa mbele.

Maisha ya ndoa yana raha sana. Sina stress yoyote kuhusu familia. Ukimpata mwanamke ambaye anakuheshimu nawe ukamheshimu. Kila mtu akasimama katika nafasi yake kama mume na mke. Hakuna kushindana.
 
So the girl had done sex at 14?Au alifanyia kwenu when you were away!
 
Hongera mkuu nimefuatilia kisa chako kwa umakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…