Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka

Kiukweli si kwa umri mdogo kama wa huyo binti. Nikiwa nimemaliza kidato cha nne nimeanza mchezo wa kikubwa tena na rika langu. Sasa huyo binti akiwa na miaka 14 ameshatafutiwa mume tayari uhakika wa kuolewa 100% lakini bado alishindwa kujitunza[emoji1544][emoji848]. Ana kaumalaya kalichojificha
 
Kunradhi!.

Kwa kuwa mimi ni Mwanajukwaa Mpya, nadhani kuna taratibu za uzi kuwa pending kwanza ili kutoa nafasi ya kupitiwa na Mods kabla ya kufikishwa kwa Umma.

Nimeshaendelea Wakuu!.

Hauna ugeni wowote hapa acha porojo, sema ni ID yako mpyaโ€ฆ. tuendelee..!
 
Mkuu kijijini wakisikia mtu yupo chuo anasoma lazma wanajua atapata kazi zuri atakua na pesa.
Mkuu ww ni mtu wa kusini?
Ni dhana tofauti kwa kabila langu.

Mtu akisoma kipindi hicho wanaona anapoteza muda tu. Hana jipya.

La Hasha!. Mimi siyo wa kusini.
 
Sasa huyo binti akiwa na miaka 14 ameshatafutiwa mume tayari uhakika wa kuolewa 100% lakini bado alishindwa kujitunza[emoji1544][emoji848]. Ana kaumalaya kalichojificha
Mkuu,

Hebu tuache kumzungumzia mtu ambaye hatumfahamu.
 
Hata hivyo wanawake wa kimasai bado wana malezi bora na utii kwa waume zao, hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ