Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka

Ndoa ya kulazimishwa yageuka tamu na yenye baraka

Tuanzie kwako umeanza kufanya mapenz ukiwa ma umri gani ? Na ulikuwa unafanya na watu wa umri gani?

Maana swala la bikra halina umri kwamba akifikisha umri flan ndio bikra inakuwa imekomaa ipo tayari kutolewa, wapo waliopotez bikra enzi za utoto au wakati wa kuvunja ungo.

Bikra bora zaidi ipo kichwani sio kwenye k*m*

NB: sijasema walio mabikra sio bora
Kiukweli si kwa umri mdogo kama wa huyo binti. Nikiwa nimemaliza kidato cha nne nimeanza mchezo wa kikubwa tena na rika langu. Sasa huyo binti akiwa na miaka 14 ameshatafutiwa mume tayari uhakika wa kuolewa 100% lakini bado alishindwa kujitunza[emoji1544][emoji848]. Ana kaumalaya kalichojificha
 
Kunradhi!.

Kwa kuwa mimi ni Mwanajukwaa Mpya, nadhani kuna taratibu za uzi kuwa pending kwanza ili kutoa nafasi ya kupitiwa na Mods kabla ya kufikishwa kwa Umma.

Nimeshaendelea Wakuu!.

Hauna ugeni wowote hapa acha porojo, sema ni ID yako mpya…. tuendelee..!
 
Mkuu kijijini wakisikia mtu yupo chuo anasoma lazma wanajua atapata kazi zuri atakua na pesa.
Mkuu ww ni mtu wa kusini?
Ni dhana tofauti kwa kabila langu.

Mtu akisoma kipindi hicho wanaona anapoteza muda tu. Hana jipya.

La Hasha!. Mimi siyo wa kusini.
 
Sasa huyo binti akiwa na miaka 14 ameshatafutiwa mume tayari uhakika wa kuolewa 100% lakini bado alishindwa kujitunza[emoji1544][emoji848]. Ana kaumalaya kalichojificha
Mkuu,

Hebu tuache kumzungumzia mtu ambaye hatumfahamu.
 
Niliishia kula mzigo, ijapokuwa hakuwa bikra ila walau chombo hakikua used sana.

Kitu kimoja ninachokiamini ni kuwa, inawezekana usiweze kujitetea sana lakini bidii yako kamwe haitokuacha. Mwezi mmoja na wiki mbili baadae nilipigiwa simu nirudi kazini. Nikalimwa barua ya onyo. Ukweli ni kuwa, mambo mengi yalikuwa hayaendi.

Nyumbani niliacha mke na wazee, lakini sasa ratiba ikabadilika. Kila Ijumaa jioni naenda nyumbani then Jumatatu alfajiri narudi kuwahi kazini.

Namshukuru sana Mungu, sasa ni baba (original) wa watoto watatu. Alhamdulillah, kazini pia mambo si haba na maisha ni murua sana.

Nilichojifunza ni kuwa, 'our parents always wish us the best'. And if the best is not their option, at least they won't lead you into the worst'.

Wasikilize na upime wanachokitaka. Kama kweli kina mantiki songa mbele.

Maisha ya ndoa yana raha sana. Sina stress yoyote kuhusu familia. Ukimpata mwanamke ambaye anakuheshimu nawe ukamheshimu. Kila mtu akasimama katika nafasi yake kama mume na mke. Hakuna kushindana.
Hata hivyo wanawake wa kimasai bado wana malezi bora na utii kwa waume zao, hongera
 
Back
Top Bottom