Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Shilole ni msagaji na pia anapelekesha wanaume hawezi kudumu

Wema anapenda starehe sana na mtumiaji mbaya wa pesa

Irene woya ana madanga mengi na anataka pesa kwaio hawez kudumu kwasababu anatak kuwa huru

Jay dee ni tasa kwaio hakuna mwanaume atakae kubaliana na hilo
 
Haya hapa nishaongeza idadi ninaowajua. Aisha Madinda, Lilian Internet, Kimobitel na huyu. Na wote nawajulia JF
Miaka hiyo huku Twanga Pepeta ya Banza Stone, Ally Choki na Lwiza Mbutu, huku Tam Tam ya Mwinjuma Muumin, Badi Bakule na Kimobiteli; bendi zote za Asha Baraka, upande wa pili una TOT Band wana wa achimenengule ya kina Misambano chini ya John Komba(RIP). Hiyo ilikuwa kabla ya FM Academia(Wajelajela) na Akudo Sound.

Sadly hizo band zote kiuhalisia zimekufa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaaah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa walifanya magazeti ya udaku yauze sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…