Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Mkuu hakuna kitu Kama kuoawana, Wanaume ndiyo tunaowa,na Mwanamke ndiyo anaolewa! Kama mahali zingekua zinatoka pande zote mbili hapo kidogo tungeweza kusema kuna kuowana Mkuu!!
Inawezekana bado hajaolewa, na ukute sababu ni hizi mentality za kiharakati
 
Wakati Luiza anaolewa alikua mweupe lakini kwenye uzee kabadilika kawa mweusi hivo wanaume tunatakiwa kua wavumilivu sana mabadiliko yanapotokea kwa mke wako akibadilika rangi wewe vumilia tu
 
Apo Mume alikubali kuwa bwege
Hatimaye wamedumu
 
[mention]T14 [/mention] kama haumfahamu Luiza Nyoni Mbutu aliyeanza kama mnenguaji hadi kua muimbaji basi Asha Baraka, Ally Choki, Muumini, Fikiri madinda, Baba Diana, Aisha kimoboteli, Diana Astonivila, Banza stone, hao huwezi kuwafahamu na tukirudi kwa wakongwe wa sikinde na msondo au moro jazz ndio utapotea kabisa yaani nikimtaja Remi ongala, tx moshi, shabani dede, king kikiki, chidumule, jumbe, hamza kalala kamanda, na wengine wengi hapo nakupoteza kabisa
 
Irene alipoulizwa umempendea nini mume wako akajibu nimempenda kwasababu ya rangi ya meno yake [emoji3]
 
Kuna Catherine rupia ,na hidaja njaidi mbona wamedumu sana nao kwenye ndoa hao wamama
Wengineo Mike Sangu na Thea nao Chali wengine nikiwakumbuka ntawamention
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…