Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Mkuu hakuna kitu Kama kuoawana, Wanaume ndiyo tunaowa,na Mwanamke ndiyo anaolewa! Kama mahali zingekua zinatoka pande zote mbili hapo kidogo tungeweza kusema kuna kuowana Mkuu!!
Inawezekana bado hajaolewa, na ukute sababu ni hizi mentality za kiharakati
 
IMG_1082.jpg

Luiza mweupe
 
Msanii Nguli, LUIZA MBUTU amedumu kwenye ndoa yapata miongo kadhaa sasa, Hana makeketofauti na wasanii wengi nchini.

Tumeshuhudia ndoa za wasanii wengi kutokudumu ikiwemo Wema Vs Prof Kumbe, Dogo janja vs Uwoya, **esma Vs petit, esma (Tena) Vs msizwa, Haji Vs mke2, Shilole Vs uchebe, jay Dee Vs Gardner, AY Mzee wa commercial wastara na waume zake 7


Apo Mume alikubali kuwa bwege
Hatimaye wamedumu
 
[mention]T14 [/mention] kama haumfahamu Luiza Nyoni Mbutu aliyeanza kama mnenguaji hadi kua muimbaji basi Asha Baraka, Ally Choki, Muumini, Fikiri madinda, Baba Diana, Aisha kimoboteli, Diana Astonivila, Banza stone, hao huwezi kuwafahamu na tukirudi kwa wakongwe wa sikinde na msondo au moro jazz ndio utapotea kabisa yaani nikimtaja Remi ongala, tx moshi, shabani dede, king kikiki, chidumule, jumbe, hamza kalala kamanda, na wengine wengi hapo nakupoteza kabisa
 
Irene alipoulizwa umempendea nini mume wako akajibu nimempenda kwasababu ya rangi ya meno yake [emoji3]
 
Kuna Catherine rupia ,na hidaja njaidi mbona wamedumu sana nao kwenye ndoa hao wamama
Wengineo Mike Sangu na Thea nao Chali wengine nikiwakumbuka ntawamention
 
Back
Top Bottom