Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Kweli mkuu, unaweza kuishi na mwanamke hata miaka 20, lakini bado ukawa hujaijua tabia yake, kwani mwanamke hatabiriki na akisema basi, kidume chukua kiroba chako urudi ulikotoka, usikazimishe penzi.Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Nami nimehisi hivyo maana ukisoma mwisho wa post unakuta na watu wa mavazi tele wametajwa hapo mara ghafra bibie anashukuru kuwa brand ambassador wa mavaziWenzenu wanafanya promotion ya matangazo wewe unakuja kuandika upuuzi huku
Hahahaha wewe jamaa😝😝. Yule Sope??unamjua Takadini.
Zai mwenyewe sasa!manara ndoa ya tisa loading.....