Ndoa ya Manara na Zaiylisa yapumulia mashine. Zaiylissa amshambulia Manara kwa kutongoza watoto wadogo

Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
pole mdogo angu[emoji28], mitandao sio ya kuiamini, unachoona kiache kama ulivokikuta kisikutoe nyongo bure kumbe ni maigizo wenzio wako location.
 
Mume wa zamani wa Zaylisa kama namuona anavyochekelea....si kuna gazeti sijui website imewataja kama couple bora...au ni Kiki kweli??? Km sio namuonea huruma zaylisa haji alivyo na domo wasije wakauana humo ndani.lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ