Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje


Wanawake wa kiiislamu weusi huwa hawaenjoy ndoa zao. Wanaume wa kiislam weusi wenye vipato vikubwa wapo wachache na hao wachache kazi yao kuoa kuzalisha na kuacha kisha kuoa upya.

Waarabu waislam wana ustaarabu tatizo na wao wanaoa waarabu wenzao tu.

Wanawake wa kikristo wana advantage sokoni maana wakaka wa kikristo wenye vipato vikubwa wapo wengi.. na dini yao inawabana na kuwafosi ustaarabu.

Imagine mtu kama millard ayo alivyojipata kama angekuwa muislamu angekuwa na ndoa ngapi ?
 
Aisee zingekuwa nyingi...

Njoo huku mtaani sasa vijana wanaoana balaa lkn ndoa hazidumu yaani pakishapatikana mtoto mmoja tu ndoa chaliii....ndoa zingine za msimu wa ramadhan, msimu ukiisha tu hamna ndoa.
 
Asante kwa maelezo maana nimeiona kwa mange alafu kasema sijui twende kwenye app.. ambayo wengine hatuna
 
wabantu husema,
alidhani amepata kumbe amepatikana 🐒

alidhani ameshika kumbe ameshikwa 🐒
 
Huyo Nusrat mwenyewe chiiiiiizi ....ukisikia chizi mpz ndio huyu sasa .....Hana akili hata kidogo
 
Ni kweli ni wastaarabu sana papa Francis kafika mbali karuhusu hadi ndoa za jinsia moja zibarikiwe makanisani
 
Aisee zingekuwa nyingi...

Njoo huku mtaani sasa vijana wanaona balaa lkn ndoa hazidumu yaani pakishapatikana mtoto mmoja tu ndoa chaliii....ndoa zingine za msimu wa ramadhan, msimu ukiisha tu hamna ndoa.

Ni kweli wanawake wa kiislamu hata wakiolewa hawajiamini.. mama mkwe mswahili. Baba mkwe na yeye ana wake kazaa.. hata ukimpelekea kesi anakwambia dini inaruhusu.

Mwanamke wa kikristo akienda kulamika kanisani hata kama kakosea yeye. Kanisa linamtetea.. ndio maana wanaume wa kristo hawana ujanja wa kuoa oa kama wanaume waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…