Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

Nakubaliana na Mtoa mada maana jamaa anaboa sana hata kama ni jeuri ya pesa atulize dyudyu yake. Kuna mdada mmoja anafanya TBCCM mwanza anaitwa J kamnunulai na gari demu kamtosa msela kisa nyala damn

Ha ha ha ha mademu wengine tamaa
 
Aunti kama escrow walianza na chibu sasa nyandu sijui nani anafuatia. Je wamepita wote?
 
Naungana na wewe

Showoff amuachie nani

Mh ata kitembea na robo ya wamawake dunoani faraja hasepi ng'ooo


Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.
 
Nachompendea nyalandu anachepuka na vitu vya ukweli katika mazingira ya ukweli.
 
mbona faraja na yeye kaliwa sana na yule bosi wa bank

tena meeting point yao ilikuwa mlimani city

anakuja na gari lake anaingia kwenye gari la huyo jamaa
 
Reactions: amu
Hivi Nyalandu anataka urais wa wapi jamani urais siyo kama kukata tiketi ya ndege na kukaa masaa kadhaa angani....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…