BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,252
Mada ya Nyarandu imegeuzwa.....si bure kuna ukweli ndani yake
Ukweli ni ule niliokuambia miss strong...
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada ya Nyarandu imegeuzwa.....si bure kuna ukweli ndani yake
Nakubaliana na Mtoa mada maana jamaa anaboa sana hata kama ni jeuri ya pesa atulize dyudyu yake. Kuna mdada mmoja anafanya TBCCM mwanza anaitwa J kamnunulai na gari demu kamtosa msela kisa nyala damn
Pivate hiki pia kinyiramba......Pivate affairs?
Ukweli ni ule niliokuambia miss strong...
Ukweli kuwa ile mimba sio yake?
The Boss na Heaven on Earth malizeni tofauti,Kweli mademu wanauzi/wanakinaisha yani mtoto mzuri kama faraja hamridhishi nyalando? Daa ni shida.
Ukweli kuwa NYALA nae ana boyfriend wake na Faraja ana boyfriend wake pia
Ha ha ha inabidi nifanye uchunguz aiseee
Ukiwa unafanya uchunguzi uwe makinj maana yule ni Chakarika In America, fupisha hayo maneno.
Elli mpwa wangu hebu njoo kipande hii.Kwa nini Nyalandu hawi kama huyu mwenzie?
View attachment 219862
Nasikia hata vyombo anaosha huyu jamaa. Si mchezo
Mbona tunatishana mkuu......maneno yepi tena?
Faraja hana jeuri ya kumuacha muheshimiwa hata robo. Ni wale watu wa SHOW BUSINESS bora hata ateseke lakini aonekane kaolewa. Mnyiramba yule na si unajua wanyiramba kwa kupnda ndoa hawana mpinzani? Nyalandu hata fanyaje Faraja haachii ngazi pale.