Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Hii ndiyo comment sasa!!!
 
Hivi kati yangu na wewe nani mjuaji!!??? Unakiri kujua nyendo za wanawake wote wanaofanya kazi maofisini!??? Poor boy!
Ok Rich boy ,nmekuomba u comment au we ndo mwenye uzi huu?.mbona una mihemko ya kukata tamaa ya maisha.Apa kila mtu na maoni yake ,thus why nmeandika wengi wao.And am not a boy
 
Ok Rich boy ,nmekuomba u comment au we ndo mwenye uzi huu?.mbona una mihemko ya kukata tamaa ya maisha.Apa kila mtu na maoni yake ,thus why nmeandika wengi wao.And am not a boy
Kwa hiyo nilichoandika mie siyo maoni, siyo!??? Unalipia huu uzi!??? Umealikwa!??? Mihemko uwe nayo wewe, visingizio univurumshie mie, is that even close to being fair!??? Punguza utoto, sawa!?? Otherwise utakosa GF.
 
Ha ha Aya umeshinda ,acha nikuache mkubwa
 
Mkuu unatufundisha nin watoto!!!!??
 
Kuna mmoja baada ya kukaa kwenye ndoa miaka miwili bila issue, alimuomba mume wake atafute house boy ili hata mume akiwa safarini mke asiogope kubaki nyumbani mwenyewe.

Miezi mitatu baada ya ajira ya house boy mke alianza kutema mate. Mume alifurahi mno. Na walibahatika kupata watoto nane.

Manama ali lobby mpaka house boy alipelekwa Veta na kupewa mtaji wa biashara baada ya mafunzo.
 
Ndo uzuri wa kuwa na birth mark ,ukoo wetu woote tunazaliwa na baka bega la kushoto.
Si wa kile si wakiume woote baka.
Hahahaa inamaaana unafikiri ile ndui ni ya ukoo wenu kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaa inamaaana unafikiri ile ndui ni ya ukoo wenu kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninaposema tunazaliwa na kovu namaanisha kovu kama kuungua na moto halafu ukapona kunakuwa kumeiva sana hata kama mtu ni mweusi basi like kovu unaweza sema ana vitiligo .

Maajabu ni kuwa linatomea sehemu moja upande wa bega la kushoto kuelekea mgongoni na alama yake inafanana kwa wote. nikipata muda ntaweka picha hapa ili ujue namaanisha nini .

Ukoo wetu sisi huwa hatushikishiw mimba asilani , ni mtoto akizaliwa tu wazee wanacheki chao kisha ndiyo ifanywe sherehe sasa.
 
Ni mpaka uwe na uwezo huo, wanyonge wanakubali kufunika kombe mwanaharamu apite.
 
Tunaweza kwa akili kubwa si ya kuchepuka. Sisi huwa ni wavumilivu. Tunaweza kuweka 200 kila siku kwenye kibubu kwa mwaka mzima.
 
Kibubu kipi Best? Maana kuna vibubu vingine ndiyo vinaishia kuchunguzwa kwa DNA 😜😜
Tunaweza kwa akili kubwa si ya kuchepuka. Sisi huwa ni wavumilivu. Tunaweza kuweka 200 kila siku kwenye kibubu kwa mwaka mzima.
 
Anaweza akampiga jamaa fine ndeeefu mno kwa muda na mali alizotumia alipwe na hapo jamaa hatakuwa na cha kufanya zaidi ya kutoa hizo pesa.
 
Wanawake wanawake wanawake hivi viumbe ni hatari sana. Watoto watatu miaka 24 mke wa ndoa unazaa nje ya ndoa aisee. Usije kumuamini hata siku moja mwanake. Huyo jamaa anatakiwa akafungue kesi mahakamani kudai fidia kutoka kwa bosi wa huyo mwanamtoka pabaya.
 
Ungefaa uende taratibu maana huyo mwanamke hakuruka peke yake, bali alirukishwa na mume unayemtetea.
 
Ungefaa uende taratibu maana huyo mwanamke hakuruka peke yake, bali alirukishwa na mume unayemtetea.
Shangaa hata wewe wakati kazaa na mwanaume mwenzao tena Mme wa mwanamke mwingine, ndiyo maana YESU aliwashushua asiye na dhambi awe wakwanza kumrushia jiwe huyu aliyefumaniwa maana alipelekwa pekeyake sasa sijui alifimaniwa na kuku au mbuzi!
 
Haya mambo yanatokea na kweli uamuzi wake ni mgumu. Kikubwa hapa ni uvumilivu wa mhusika, tamaduni za mhusika, na mtazamo mzima wa mwanaume mhusika. Hili jambo ni kubwa na linataka kutafakariwa kabla ya uamuzi. Ila kama ni mimi, cha kwanza ni kumuacha mwanamke huyu aliyenidhalalisha. Watoto hawana makosa. Watoto hawachagui mzazi. Kwa vile hao watoto wakubwa amewalea kwa miaka yote, nafikiri itakuwa vizuri atakapochukuwa uamuzi kuhusu mke wake awape nafasi hao watoto. Kwanza ni wakubwa, hiyo fedheha ya kuwa waliyemdhania ni baba kumbe siye ni kubwa. Baba itabidi aendelee kuwa nao uhusiano mzuri, kwa sababu ndiyiye baba wanaemjuwa.

Lakini inawezekana mwanamke ni limbwekeni na anaweza kuweka sumu kwenye uhusiano wa hao watoto na ex wake. Watoto wataamuwa wenyewe wanataka nini. Wanataka kuwa na baba yao wa kambo ambaye walidhania ni baba yao mzazi au wataondoka na mama yao.
 
Umenikumbusha wimbo wa lulu diva - hauna maajabu.
 
Hakuna sababu ya msingi ya kumwacha mke. Jambo la msingi ni namna ya kuwahandle hawa watoto watatu, physically na psychologically. Mume anatakiwa ajue kuwa ndoa ina mambo mengi, na changamoto ndiyo hizi. Definition nyingine ya mwanaume ni stress handler -- hakuna kitu kinachoweza kumshinda kuhandle systematically & intelligently. Watoto wasiambiwe hadi waridhike kwamba umri unafaa. Mume na mke wafungue ukurasa mpya wa mahusiano mazuri ya kuaminiana na kushirikiana pamoja kama mtu & mzazi mwenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…