Ndoa ya miaka 24 yavunjika baada ya mume kutambua watoto watatu sio damu yake

Kirahisi rahisi tu unalea mabao matatu ya mwanaume mwenzio aliyekuchapia mkeo wa ndoa na kumzalisha watoto watatu,eti hoo"mwanaume stress handler......." ndio tuna handle stress lkn si za type hii cha msingi aende kwa huyo boss na watoto wake watatu.
 
Maandiko yanasema namna pekee ya kuvunja ndoa ni habar ya uzinzi.

Sina ushauri nwingine zaidi ya kuachana na huyo mwanamke maana maumivu yake sio ya kitoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msamaha hakuna!??? Isijekuwa mumewe ndiye chanzo cha mwanamke kumzawadia bosi wake, maana huwa si rahisi kwa mwanamke anayejiheshimu & kuipenda ndoa yake na kumpenda mumewe.
 
Kirahisi rahisi tu unalea mabao matatu ya mwanaume mwenzio aliyekuchapia mkeo wa ndoa na kumzalisha watoto watatu,eti hoo"mwanaume stress handler......." ndio tuna handle stress lkn si za type hii cha msingi aende kwa huyo boss na watoto wake watatu.
Hivi utaanzaje kuwachukia watoto ambao almost 20 years umekuwa ukiwapenda na kuwahudumia na kuwathamini kama wanao!??? Haiwezekani, hata kichaa hawezi kufanya hilo.
 
Wanajua sana ku-act siku za awali. Wakati sie tunajitahidi kuonyesha love haswaa
 
Binafsi maamuzi yangu ni kumtoa duniani huyo mama km bado hajawaambia ukweli hao watoto watatu,

Then ntaendelea kuwalea watoto wote kama wanangu bila kinyongo wala nini maana nimetoka nao mbali.
 
Wewe kama ni mwanaume ungeweza kufanya hivyo kama unavyoshauri?????Pengine na watoto walikuwa wanamchora tu kuwa walishaambiwa kuwa huyo sio baba yao...Ingekua mtoto mmoja ndio wa bosi inaongeleka ila watatu….???
 
Sitowachukia bali wataenda kwa baba yao mzazi,amalizie nilipoishia mimi.
Hapo basi unakuwa umejiibia mara mbili; wale watoto unatakiwa ujimilikishe kisheria wawe wako, uwapende na kuwathamini kama wanao wa damu, as if hujui kilichotokea. Purukushani zingine ni ZERO BRAIN na mihemko ya hasara. Halafu, kitendo cha kuwafukuzwa na kuwadhalilisha ni chuki ya karne, usijifiche kwenye maneno matupu. Kijana huna hata chembe ya ubinadamu!!??? Angalia usijeshindwa kuoa aiseee! Tafakari ulipojikwaa siyo ulipoangukia.
 
Ila wanawake sisi duuuhhh☺️☺️☺️☺️😊
 
Binafsi maamuzi yangu ni kumtoa duniani huyo mama km bado hajawaambia ukweli hao watoto watatu,

Then ntaendelea kuwalea watoto wote kama wanangu bila kinyongo wala nini maana nimetoka nao mbali.
Huo ni ujahili zaidi ya ushetani! Ulimuumbia uhai!???
 
Ila wanawake sisi duuuhhh[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji4]
@Rebeca 83 ni makosa sana kumlaumu mwanamke mwenyewe kwenye hii scenario. Kilichofanyika ni kosa kubwa, lakini don't judge prematurely. Nadhani kabisa source ya yote ni mumewe. Halafu, yuleee mume mwenzake. Hivi wewe bosi ofisini unaanzaje kummendea mke wa mtu mwingine, kimfano!??? Tabia ya kugeuza ofisini kuwa sehemu ya uchuuzi wa mapenzi ni kosa ambalo litaendelea kuwaandama sana wanaume day in, day out hadi washangae.
 
Kitanda hakizai haramu, ila poleeeeh zake sanaah
 
Wewe kama ni mwanaume ungeweza kufanya hivyo kama unavyoshauri?????Pengine na watoto walikuwa wanamchora tu kuwa walishaambiwa kuwa huyo sio baba yao...Ingekua mtoto mmoja ndio wa bosi inaongeleka ila watatu….???
Usisahau kwamba wanaume haohao wamezaa nje kwa wanawake za watu kibao tu. Usikute hata huyo jamaa yako unayemtetea naye ana wavulana na wasichana weeeengiiii amewekeza kwa mwanaume mwenzake huko. Ukiingia kwenye ndoa, basi ingia kikamilifu. Mwanaume anayeingia kwenye ndoa akiwa na mawazo kama yako ya kutelekeza ndoa yake, huyo ni mwoga. Accept reality and move on with life. Huo ndio uanaume wenyewe. Kitendo hakikubaliki hata kidogo, but unakihendo manly. Sasa mwanaume unareact kama kuruka kwa pweza!??? Relax kisha anza maisha upya. Mbona mambo huwa yananyooka tu. Mtegemee Mungu pia atakusaidieni. Usiende kichwakichwa utaishia Segerea!
 
Yote yanatokea haya ...kwasababu

Wanaume,tumeacha asili yetu na kubeba uvivu wa akili na maarifa

Mwanamke,tumempa kitu ambacho si chake

Asili ya Mwanaume,ni kujitambua na kujua haki yake juu ya familia,na haki ya familia juu yake

Asili ya Mwanaume,ni kupambana na kutafuta kwa nguvu zote

Asili ya Mwanaume,ni kuyavaa majukumu yake ipasavyo

UPANDE WA MWANAMKE
Asili yake ni kuwa ndani na kusimamia majukumu ya nyumbani

Asili ya Mwanamke,ni kutambua haki yake juu ya Mume wake na Haki ya Mume juu yake

Asili ya Mwanamke,ni kutambua mipaka ya majukumu yake

Asili ya Mwanamke ni kuwa na haya/aibu,na si macho pepepeeeeee..kodokodooo


Tuliyawacha haya na mengine meengi

tukalazimisha kugawana majukumu
Mwanaume umeajiriwa
Mwanamke ameajiriwa

Mnatoka pamoja asubuhi kwenda kazini
Nyumba mnamuachia Dada wa kazi

Hii dhambi....itatutafuna sana katika maisha yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…