Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

Sheria inasemaje Mrs Lissu pale unapoingia kwenye ndoa without honest and good will?

Au wewe ni Mrs Lissu fake? Maana mke wa Lissu ni mwanasheria
Ndoa halali niile ya kwanza..! Huyo kwa hayati mlema alikuwa Danga..! Pamoja na kufunga ndoa hadharani.
 
Hukumu hii nirahisi sana mahakamani! Doreen alimlea hayati mrema km danga lake, hata yy alikula vitu vya hayati. Hii picha km ya robart mgabe kutaka kumpa nchi bi mdogo akakwama km doreenalivyokwama.

Ndoa halali niile yakwanza maana haina taraka🤣🤣
 
Ndugu unanishambulia mimi kama vile ndio nimeenda kudang'anya kanisa

Ebu twende taratibu


1. Kama doreen aliolewa na jina fake na mrema je kanisani walitangaza majina ya ukweli?
 
Yesu alimwambia yule mama pale kisimani yakuwa! Huna mme! Baada ya kumjibu yesu kimasihara kuwa hana mme, maana alikuwa na mme wa tano.

Yesu akamjibu, umesema kweli maana hata huyu uliyenaye cyo mmeo.

Mama ndukiiiiii🏃‍♂️🏃‍♂️ nawewe doreen toka nduki
 
Mtoa mada mhhh haya
Isije kua ww ndio mtoto wa kwanza wa marehem Mrema maan 🙌
 
Doreen bhana angemshawishi Mzee Mrema wasilimu mbona kule easy tu!hajawa konk kwenye utapeli.
 
Haya yote yamekuja baada ya kufa MREMA 😂, Mwacheni dada wa watu akamilishe mission yake. 😂
 
Ndugu unanishambulia mimi kama vile ndio nimeenda kudang'anya kanisa

Ebu twende taratibu


1. Kama doreen aliolewa na jina fake na mrema je kanisani walitangaza majina ya ukweli?
Haushambuliwi. Shida yako ni kuwa unajichanganya. Wewe ndio unatakiwa kututhibitishia kuwa jina alilotumia Doreen lilikuwa sio lake. Hiyo sio kazi ya Doreen. Mpaka sasa umeleta majungu tu.

Amandla...
 
Raia mwema wanasema mume wa huyo Doreen hakujua anaolewa mpaka siku aliyoolewa na alijua kama mimi na wewe kwenye media ndoa imefungwa.
Je baada ya kujua kupitia media yeye kama mume alishindwaje kujitokeza wakati huo na kuthibitisha mbele ya mume mpya aliemuowa, mbele ya viongozi wa kanisa pamoja na serikali ili ndoa hiyo mpya iliyofungwa iweze kuvunjwa kabla ya kusubiri mume anaetambulika afariki afu yeye wa mafichoni ndio ajitokeze?
 
Haushambuliwi. Shida yako ni kuwa unajichanganya. Wewe ndio unatakiwa kututhibitishia kuwa jina alilotumia Doreen lilikuwa sio lake. Hiyo sio kazi ya Doreen. Mpaka sasa umeleta majungu tu.

Amandla...
Ehh sasa si umuombe Doreen aje kukanusha hizi report. Shida iko wapi anapenda media na anajua kuzitumia

Aseme alitangaza ndoa wapi, jina lipi na cheti chake cha ndoa jina linasomekaje.

Ndugu hizi ni shustuma nzito sana na ni pia criminal offence.
 
Unajuaje mume wa kwanza hakujitokeza?

Taratibu na sheria zinasemaje kwa ndoa za wakatoliki kuwa na waume wawili?
 
Mkuu, wewe ni mtoto au mpwa wa Marehemu Mrema??
 
Tuwekee hapa mkuu hata link
 
Majasho ana majasho balaa
 
Unajuaje mume wa kwanza hakujitokeza?

Taratibu na sheria zinasemaje kwa ndoa za wakatoliki kuwa na waume wawili?
Kama alijitokeza ni kwanini hatukuwahi kusikia, kuona wala kusoma taarifa zake kama tunavyozisikia, na kuzisoma leo baada ya Mrema kufariki?

Watanzania sio wajinga, mbumbumbu au watoto wadogo kama mnavyofikiria, mkileta thread au taarifa za aina hii mjiandae na majibu yanayoeleweka. Sio mimi nikuulize swali na wewe uniulize swali, badala ya kujibu kwanza swali.
This is nonsense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…