Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

Gazeti la Raia mwema ndilo lilie anzisha huu mjadala Doreen ni mke wa mtu.

Fredrick Mushi alithitisha Doreen ni mke wake kwenye hilo gazeti (kalitafute online)

Mtabishana mpaka Kiama ila mwisho wa siku ukweli utajulikana, mahakama na kanisa itachekesha pumba na mchele. Na mengi yatajulikana maana mahakamani ni open court

Hii issue iwe fundisho, utapeli sio tija, fanyeni kazi. Na unawezaje kuwa mjinga kwenda kutapeli familia ya mtu high profile kama Mrema?
 
Majasho This seem to be more personal
 
jimama jizi shenzi
 
Awe bandia asiwe bandia ye ndo amekaa na yule mzee wakat hawez hata kujitawaza
Kama mngekuwa na uchungu mngeolewa nyie

Unajua wakat mwingine tuthamin watu wanaokaa na wazee wetu kwenye siku zao za mwisho hamjui wanapitia magumu kias gan
Hilo halialalishi udanganyifu na uvunjifu wa sheria.
 
Sio lazima kifo kiwatenganishe, mahakama ina mamlaka ya kubatilisha ndoa yoyote na ndio maana vyeti vyote vya ndoa vinatoka serikalini. Kisheria talaka ni haki ya raia yoyote yule.
 
Ndoa ya Doreen mbona ilikuwa ya public kila mtu aliijua. Na pia mara kadhaa alikuwa akihojiwa na mahojiano yake yaliwekwa wazi mitandaoni.

Sasa huyo mume wake alikuwa wapi siku zote mpaka ajitokeze leo baada ya Mrema kufariki?
Swali la msingi sana hili.
Yaani mtu umuone mkeo anaolewa na mtu mwingine tena waziwazi kisha ukae kimya tu,inawezekanaje
 
Nimewaza kama wewe huyu mtoa mada ametumwa si bure atatuwekeaje ushahidi ambao una majina tofauti na majina ya muhusika.
Tutaprove vipi kwamba ndio yeye muhusika labda kama hivyo vyeti vina picha yake hapo sawa.
Msitumie nguvu sana

Mwambieni Doreen aonyeshe cheti chake cha ndoa na Mzee Mrema. Jina katumia lipi alafu mmuulize ilo jina limetoka wapi.

Mkubali mkatae Doreen kavunja sheria na kavunja kwa makusudi kwasababu kazoea udangantifu.

Sheria ipo for a reason
 
Swali la msingi sana hili.
Yaani mtu umuone mkeo anaolewa na mtu mwingine tena waziwazi kisha ukae kimya tu,inawezekanaje
Doreen hakutumia jina Lake, Alitumia jina fake, kwenye ndoa ya Mrema. Tangazo la ndoa lilikuwa jina fake.

Na mume wake halali alijua kaolewa kwenye media kama mimi na wewe.

Jiulize ulishawahi kuona bibi harusi na sun glasses kanisani

Ombeni Doreen atoe cheti chake cha ndoa na Mrema
 
Hivi ulikua wapi wakati mrema mzima...yaani wewe majasho wewe
 
Mumewe alipojua doreen anaolewa mbona hakujitokeza hadharani..?
 
Mumewe alipojua doreen anaolewa mbona hakujitokeza hadharani..?
Omba cheti cha ndoa cha Doreen na Mrema.

Si unamjua Doreen anapenda media, shida iko wapi.

Mi natafuta popcorn nasubiri mahakamani tuone movie.

Mrs Lissu fanya kazi usitumie jina la Mrs Lissu, na usimmendee Lissu unajua yule ni lawyer haaaa (utani usikasirike)
 
Una speed sio kawaida .mie sioni hata kama anapenda media ..namuona ana busara kuliko Jack wa Mengi....kile cheti kitawaumbua tupo hapa sisi ..rc hawawez kubali kuchafuka kirahisi nqmna unayoyaka wewe...ile ni taasisi .kwaheri
 
Wewe ni nani kwenye familiya ya marehemu? So marehemu hakuyajuwa haya yote?
Nyinyi mnaoteseka ndo mmefoji hayo ma barua, muoaji ashafariki wenda alijua zaidi yako lakini akamuoa basi mmebaki mnateseka anyway!
Mali ndo zinawatesa tafuteni za kwenu ukite wewe hata sio member of the family 🀣
 
Kwa hiyo hizi karatasi ndio vithibitisho!
Thibitisha pasipokuwa na shaka kuwa Doreen Kimbe ndiye Doreen Mkandala!
 
Mrema shushushuu was brainwashed enough

Doris is an elderl Gold Digger
 
I don't buy it, kama mume wake wa zamani alikuwa ana-dispute yoyote, kwann wakati matangazo ya ndoa yanatoka kanisani hawaku-raise hiyo concern? Why now?

Kuhusu hoja ya majina, kisheria majina yanabadilishika kwa kufuata utaratibu maalumu.

Kuhusu ndoa ya kikatoliki kuwa ya hadi kufa inategemea na circumstances. Kwendana na mazingira, kanisa kikatoliki linaweza kubariki ndoa kuvunjwa kwa kuzingatia vigezo vyao na taratibu zao, na Muhusika akaruhusiwa kuoa tena.

P.S Mwenye mamlaka kisheria ya ku-declare ndoa ni batili au kutoa divorce ni mahakama pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…