Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
🤣🤣🤣😂🤣🤣😂mmoja alikubali kuwa boya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣😂🤣🤣😂mmoja alikubali kuwa boya.
aseeh ni noma sanammoja alikubali kuwa boya.
Shukrani boss! Nimeelewa vizuriTrust issue ni changamoto ambazo baadhi ya watu hukabiliana nazo katika kuwaamini wengine. Ni ile hali ya kutomwamini mtu wowote.
Hao wana 50 iliyojaa.Wazazi wangu walianza kuishi pamoja mwaka 74, na wamefunga ndoa mwaka 2018 je Wana miaka mingapi kwenye ndoa?
Hahahahahaha atakuwa mchezaji na kochaKwahiyo kati yao nani amekubali kuwa mjinga?
50/50Vijana wa Sasa Kila mmoja ni mjuaji, Sasa Kuna jambo hapo?. Kitu kidogo tu lakini Hadi apatikane mshindi, huo si upuuzi!, wazee wa zamani hawanaga kushindana hivyo.
Hongera nyingi kwao...Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.
Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.
Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
From BEATRICE CHALAMILA to BETY MKWASA..Wajitahidi wasije kuachana uzeeni.
Maana kuna wazee bila aibu nao huachana.
-No ubinafsiWatupe Siri ya mafanikio
Thank you so much...... i learn-No ubinafsi
-Hakuna Maringo or lugha mbaya ndani ya nyuma
-Kuheshimiana
-Baba analeta kodi ya nyumba na mama anaridhika nayo kwakua wanapendana.
-Mola wao ndio kiongozi mkuu
-Misuguano ipo lkn huisikii Kwa jirani.
They love each other unconditional
Kama wana binti hajaolewa wanistue
[/QUOTE
Jamii forum ukipata mkwe
Ni upumbavu tuKujifanya mjinga ni njia mojawapo inayoonyesha busara au upole wa mtu
SijaelewaNi upumbavu tu
Sure Betty nmewahi muona chaka bovu mno na men👐🙌Mkwasa
Zingatia "tulitoroka bwenini..."
Mwanafunzi na mnuso ni kitu hiki☝️