Ndoa ya mtangazaji mkongwe Betty Mkwasa na Charles Boniface Mkwasa “Master” yafikisha miaka 35, wapo imara na wanasonga mbele

Ndoa ya mtangazaji mkongwe Betty Mkwasa na Charles Boniface Mkwasa “Master” yafikisha miaka 35, wapo imara na wanasonga mbele

Mwanahabari mkongwe na aliyepata kuwa Mkuu wa Wilaya enzi ya awamu ya nne, mama Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa yafikia miaka 35.

Charles Boniface Mkwasa mchezaji na kocha wa zamani alioana na Betty mwaka 1990 na wawili hao wamejaaliwa watoto kadhaa.

Vijana wa zama hizi tunafeli wapi kwenye ndoa zetu? Tutumie mfano wa ndoa hii kama sehemu ya kuvumiliana kwenye changamoto mbalimbali.
View attachment 3204476
Hongera nyingi kwao...
 
Uncle bana. Yaani simulizi zako upo serious ila zinachekesha
1737089181289.jpg

Zingatia "tulitoroka bwenini..."
Mwanafunzi na mnuso ni kitu hiki☝️
 
Back
Top Bottom