Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

hahahahahaha kweli kibiashara mtu kukosea njia ya kupita sio mbaya jamani na wewe Mr Rocky asante kunitosa na Erickb52 umefurah sasa nimetoswa eeh???
 
Last edited by a moderator:
sweetlady mzima wewe
Mambo yako
Mazoezi ya leo usikose aise nimeendaa mguu wa mbuzi na mvinyo pia
 
Last edited by a moderator:
sweetlady kuna mtu kachawia ndoa yako. Nitafute nikupe Dvd ujionee.
Btw, karibu kwenye chama la masingo galz.
 
Last edited by a moderator:
sweetlady kuna mtu kachawia ndoa yako. Nitafute nikupe Dvd ujionee.
Btw, karibu kwenye chama la masingo galz.
Hehehe, acha ichawiwe manake ndoa yenyewe ishanishinda hata mimi, mwanaume hatulii nyumbani kutwa kiguu na njia lol.
 
Last edited by a moderator:
I'm so sor sweetylady naamini itakuwa vigumu kunielewa ila ndivyo ilivyo. Mapenzi yetu yalikuwa matamu na mda mwingine machungu ila niliweza kuvumilia. Visa vingi umenifanyia hivyo kunifanya niishi kama mume mjinga.

Tabia yako ya kulala nje mimi imenishinda
Kuwashobokea masharobaro kama akina Mungi na wenzie sikupenda hiyo tabia

Now you are free to go mtoto tutampeleka kwa babu yao watu8
cc: Baba V. Bishanga. @Mr. Rocky.

Alikugeuza Mume ***** a.k.a Bushoke, pole sana.
 
Back
Top Bottom