Hahahahaha! Kama vipi turudiane naahidi ntakuwa mke mwema.itabidi uwe unakuja mara moja moja unipe cha ukumbusho
We nae , haya naongea na mzazi mwenzangu wewe yamekupataje? Tupishe huko.
Unaenda wapi? Nisaidie kumbembeleza mume wangu arudishe moyo nyuma!..........Haya mimi napita kimyakimya......:shut-mouth:
Ahsante kwa kuniombea lolHa ha ha haah!! Amesema atajirekebisha...