Wewe mbona hujaenda?
Kipipi am serious aise more than serious
Hahahahaha! The secretary good morninguna hamu nikuseme nikikusema utaliaa unahamu nikuchambee nikikuchamba utazimiaaa
Hahahahaha! The secretary good morning
Hehehe, acha ichawiwe manake ndoa yenyewe ishanishinda hata mimi, mwanaume hatulii nyumbani kutwa kiguu na njia lol.sweetlady kuna mtu kachawia ndoa yako. Nitafute nikupe Dvd ujionee.
Btw, karibu kwenye chama la masingo galz.
Gud evening
Am gud dia, wewe je?
full energy
I'm so sor sweetylady naamini itakuwa vigumu kunielewa ila ndivyo ilivyo. Mapenzi yetu yalikuwa matamu na mda mwingine machungu ila niliweza kuvumilia. Visa vingi umenifanyia hivyo kunifanya niishi kama mume mjinga.
Tabia yako ya kulala nje mimi imenishinda
Kuwashobokea masharobaro kama akina Mungi na wenzie sikupenda hiyo tabia
Now you are free to go mtoto tutampeleka kwa babu yao watu8
cc: Baba V. Bishanga. @Mr. Rocky.
ndio waliokuponza hao