Ndoa yangu changa inataka kuniua

Maelezo yako yanaonyesha kama mkeo ni mchaga na hiyo ni kawaida kwao kudokoa pesa na kuwa na mahawara wanaowaita anko. Kwa vile hamjafika mbali, mpe taarifa kuwa utamuacha kama hataacha. Akiendelea mpige chini. Kwanini uishi na kibaka nyumba moja. Utakuta zinapelekwa kwao kunjenga nyumba Yethu.
 
Mkuu umeoa UMASIKINI kuna siku utaikumbuka hii post.
Wewe pigapiga kifua na utamke kwa nguvu...mimi ni maskini mtarajiwaa.

 
Pole, ulioa mwanamke usiejua tabia zake. Hakuna dawa katika hayo, kifupi humjui mkeo. Matumizi makubwa kuna jambo,linampelekea hata kuiba pesa au kuuza vitu muhimu,sio tabia ndogo hizo. Ukikinai tabia yake mwache,ukiweza kuivumilia kila la heri.
 
Hapa nafanyaje kumuwezesha yeye kuoa maisha hayapo hivyo???
Maana mbinu zangu zote zimeshindikana
Mfungulie biashara .. ili aone uchungu wa pesa pengine mkeo Ana Hali yakuchukulia Mambo kiraisi .. akishindwa kuendesha biashara .. jaribu kuchunguza circle ya marafiki zake .. pengine Hana marafiki wanao jielewa .. ikiwa Hana marafiki .. ulizia hali ya nyumbani kwao .. pengine wazazi wake humuomba pesa Mara kwa Mara kwaiyo hujikuta anako plan B .. lakini Kama ivyo vyote Amna .. basi .. Huza IYO N'GOMBE nunua MAZIWA ya REJAREJA .. ova
 
Unamshauri kuachana unajua mwenzako dini gani?
 
Kwa tabia hizo, ni wazi anajiandaa kuondoka hapo kwako.

Kwa udokozi huo wa fedha ni wazi hana sifa ya kuja kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…