Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana hakupendi ila yupo na wewe umtimizie mahitaj9 yake kama hayo ya kumsaidia amalize chuo, kulea mtoto n.kKusema ukweli kwa sasa sina uhakika alinipendea nini, nilifikiri ni vile ninavyomjali lakini sina uhakika.
Mtoto ameshazaliwa kwa kweli siwezimkataa.
Hilo wazo nililipata baada ya kutoona kasoro kwake na pia ili nimuwezeshe amalize shule bila stress
Ye ndo wa kwanza kutegemewa...Labda nyumban kwao wanashida sanaa na yeye ana tegemewa nyumbani kwao
Yeah inabidi amuulize tujue upande wa piliLabda nyumban kwao wanashida sanaa na yeye ana tegemewa nyumbani kwao
Mmeshaambiwa msioe ila HAMSIKII.Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana.
Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa yaliharakishwa na kumpatia ujauzito akiwa mwaka wa pili chuo.
Matatizo sasa yanaanzia hapa:
1. Baada ya kumuoa katikati ya mwaka jana akiwa anakaribia kurudi chuo, aliamua kujifukuzisha chuo kimya kimya kwa kutoingia darasani. Ni mpaka mwaka huu mwanzoni ndo nilipojua ukweli, nikamsaheme nikifikiri ni mimba iliyomfanyia hivyo na nikamsaidia kuchaguliwa kwenye chaguzi za juzi hapa
2. Alianza tabia ya kuiba hela nazo rudi nazo nyumbani, hapa nikafikiri ni mdada wa kazi baada ya kumtimua lakini tabia ikaendelea. Hapa ilinilazimu niwe naficha hela kwenye gari.
Si akaja kugundua akaanza kuzifuata huko huko kwenye gari, sasa hapa nikawa nazificha sehemu ambazo asiye fundi hawezi zifikia. Hapa kunaujinga mwingi sana umefanyika mpaka ikafika yeye kukata hela ya chakula.
(Anabana hela ya chakula, chakula kina kata katikati ya wiki).
3. Wizi wa hela ya sadaka, hapa niliandaa hela ya sadaka ya shukrani, nikaiweka kwenye bahasha na tukaiombea, nikafunga bahasha na gundi. Kesho yake asubuhi tunaenda kanisani nikagundua bahasha ilifunguliwa na nusu ya hela imepigwa.
4. Kuna vitu vimeanza kutoweka nyumbani, begi kubwa la nguo, set za mapazia niliyonunua kwa bei kubwa, simu yangu ya ofisini (Naitumia mara chache, kwa shughuli za ofisi) na godoro dogo la chumba cha wageni. Nilivyoongea naye jana kuna kila ishara kuwa ameviuza.
Dah naombeni ushauri maana najiona kabisa kwenda kuua mtoto wa watu, maana sioni kitu anachokifanya na hizo hela zaidi ya nyumba kujaa makopo ya juice na soda.
Na hata hivyo ameanza uvivu, usafi kwake ni changamoto saa nyingine naogopa kwenda jikoni.
Kumbe!!!!Jamani mkuu ndo kuiba.
Ye ndo wa kwanza kutegemewa...
Ila sawa tu acha limkute mkuu hapa. Mambo ya kuangalia shindu, msambwax ...ndo hayo. Pisi kali mikono mirefu....
Kila mtu hupata anachostahili. Dont ever marry for the wrong reason. Ila miaka nenda rudi mambo ya ndoa husemwa humu ila hatujifunzi tooo sad...
He deserves it probably....
Nyumbani kwao Wana uchumi wakati au wa chini?? Maana mpaka ulihamua kumuoa lazima utakuwa Una ya jua maisha ya familia Yao.Nahisi anamahitaji makubwa ya hela ila bado sijui anafanyia nini maana kuna mwezi nilimpa nusu ya mapato yangu kwa ajili ya kuendesha shughuli zote za nyumbani kwa huo mwezi lakini nililipa mwenyewe bili zote za huo mwezi kwa nusu mwengine
Niliogopa sana aisee, ila ni kama Mungu aliniambia ni nunue bahasha mbili. Nikatumia hiyo ya pili kwa ajili ya sadaka
Hili ndo lamsingiAnakosa nini mpaka anafanya yote hayo?
How old is she?
Bwaga zigo mkuuWahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana.
Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa yaliharakishwa na kumpatia ujauzito akiwa mwaka wa pili chuo.
Matatizo sasa yanaanzia hapa:
1. Baada ya kumuoa katikati ya mwaka jana akiwa anakaribia kurudi chuo, aliamua kujifukuzisha chuo kimya kimya kwa kutoingia darasani. Ni mpaka mwaka huu mwanzoni ndo nilipojua ukweli, nikamsaheme nikifikiri ni mimba iliyomfanyia hivyo na nikamsaidia kuchaguliwa kwenye chaguzi za juzi hapa
2. Alianza tabia ya kuiba hela nazo rudi nazo nyumbani, hapa nikafikiri ni mdada wa kazi baada ya kumtimua lakini tabia ikaendelea. Hapa ilinilazimu niwe naficha hela kwenye gari.
Si akaja kugundua akaanza kuzifuata huko huko kwenye gari, sasa hapa nikawa nazificha sehemu ambazo asiye fundi hawezi zifikia. Hapa kunaujinga mwingi sana umefanyika mpaka ikafika yeye kukata hela ya chakula.
(Anabana hela ya chakula, chakula kina kata katikati ya wiki).
3. Wizi wa hela ya sadaka, hapa niliandaa hela ya sadaka ya shukrani, nikaiweka kwenye bahasha na tukaiombea, nikafunga bahasha na gundi. Kesho yake asubuhi tunaenda kanisani nikagundua bahasha ilifunguliwa na nusu ya hela imepigwa.
4. Kuna vitu vimeanza kutoweka nyumbani, begi kubwa la nguo, set za mapazia niliyonunua kwa bei kubwa, simu yangu ya ofisini (Naitumia mara chache, kwa shughuli za ofisi) na godoro dogo la chumba cha wageni. Nilivyoongea naye jana kuna kila ishara kuwa ameviuza.
Dah naombeni ushauri maana najiona kabisa kwenda kuua mtoto wa watu, maana sioni kitu anachokifanya na hizo hela zaidi ya nyumba kujaa makopo ya juice na soda.
Na hata hivyo ameanza uvivu, usafi kwake ni changamoto saa nyingine naogopa kwenda jikoni.
Umeona sound system yenye asili ya ukibaka,huna mke hapo unakibaka mzoefuWahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana.