50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Mambo ya ndoa magumu mno!Kwamba jamaa labda hamajali mkewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya ndoa magumu mno!Kwamba jamaa labda hamajali mkewe?
Mkuu tangia awali hatuwahi share hizi vitu, maana kwa jinsi mambo yanavyoenda ningeshakuwa kichaa sasa hivi kama angekua na access hiyo.Nyongeza.
Usimshirikishe mambo yako ya kifedha.maana tabia yake ndo hivo.
Kuwa msiri,jifanye uko broke,usishee kadi ya ATM ama namba za mpeaa nk.mpaka atapobadilika labda.
Shukrani mkuu kwa ushauri wakoPiga chini
Shukrani mkuupole sana Mkuu
Natumai watayasolveMambo ya ndoa magumu mno!
Basi vema mkuuMkuu tangia awali hatuwahi share hizi vitu, maana kwa jinsi mambo yanavyoenda ningeshakuwa kichaa sasa hivi kama angekua na access hiyo.
Ni kweli mkuu information ni one sided, Ila ni kuhakikishie kuwa mahitaji muhimu yote anapata. Mpaka vifurushi vya uhakika vya simu kwa mwezi. Kwenye upande wa hela hata nimpe mapato yote ya mwezi na uhakika bado sitamridhishaissue hapa tuna-comment based on one side...kujua upande wa pili ndio dili
Naomba Mungu iwe hivyoNatumai watayasolve
Ni hatari sana mkuundoa zingne bn, yan apo unaishi n kibaka ndani
Ni kweli mkuu information ni one sided, Ila ni kuhakikishie kuwa mahitaji muhimu yote anapata. Mpaka vifurushi vya uhakika vya simu kwa mwezi. Kwenye upande wa hela hata nimpe mapato yote ya mwezi na uhakika bado sitamridhisha
Asante sana mkuu,Vigezo vyako vya kupata mke bora vilikuwaje?
Wakongwe vigezo vyetu
Age
Beauty
Character
D
Education
Figure
G
Height
I
J
.
.
.
Z
Ushauri wangu, rejea vigezo vyako vya mke bora. Kama hatoshi mpandishe cheo!
Huna sababu ya kuhuzunika, unless she finances relationship.
Nikutakie kila la heri!
Inabidi aligundue mapemaYeah! unaonesha kuna tatizo kabla ya hili
PamojaNashukuru mkuu, nitajaribu maana nimepata ugumu kwa sasa kushare hizi na ndugu na jamaa.
Hawa wanawake wa ovyo mnakutana nao wapi,???achana nae, fanya mambo yako.Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana.
Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa yaliharakishwa na kumpatia ujauzito akiwa mwaka wa pili chuo.
Matatizo sasa yanaanzia hapa:
1. Baada ya kumuoa katikati ya mwaka jana akiwa anakaribia kurudi chuo, aliamua kujifukuzisha chuo kimya kimya kwa kutoingia darasani. Ni mpaka mwaka huu mwanzoni ndo nilipojua ukweli, nikamsaheme nikifikiri ni mimba iliyomfanyia hivyo na nikamsaidia kuchaguliwa kwenye chaguzi za juzi hapa
2. Alianza tabia ya kuiba hela nazo rudi nazo nyumbani, hapa nikafikiri ni mdada wa kazi baada ya kumtimua lakini tabia ikaendelea. Hapa ilinilazimu niwe naficha hela kwenye gari.
Si akaja kugundua akaanza kuzifuata huko huko kwenye gari, sasa hapa nikawa nazificha sehemu ambazo asiye fundi hawezi zifikia. Hapa kunaujinga mwingi sana umefanyika mpaka ikafika yeye kukata hela ya chakula.
(Anabana hela ya chakula, chakula kina kata katikati ya wiki).
3. Wizi wa hela ya sadaka, hapa niliandaa hela ya sadaka ya shukrani, nikaiweka kwenye bahasha na tukaiombea, nikafunga bahasha na gundi. Kesho yake asubuhi tunaenda kanisani nikagundua bahasha ilifunguliwa na nusu ya hela imepigwa.
4. Kuna vitu vimeanza kutoweka nyumbani, begi kubwa la nguo, set za mapazia niliyonunua kwa bei kubwa, simu yangu ya ofisini (Naitumia mara chache, kwa shughuli za ofisi) na godoro dogo la chumba cha wageni. Nilivyoongea naye jana kuna kila ishara kuwa ameviuza.
Dah naombeni ushauri maana najiona kabisa kwenda kuua mtoto wa watu, maana sioni kitu anachokifanya na hizo hela zaidi ya nyumba kujaa makopo ya juice na soda.
Na hata hivyo ameanza uvivu, usafi kwake ni changamoto saa nyingine naogopa kwenda jikoni.
MdokoziKleptomaniac ndo mtu wa design gani??
Yaani ukiendelea kuishi na huyu mwanamke ujiandae Kwa yafuatayo:Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana.