Ndoa yangu changa inataka kuniua

Ndoa yangu changa inataka kuniua

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nilikua sina raha ila kwa hii comment yako nimecheka sana mkuu
Sipati picha mkuu akiuzwa[emoji38][emoji38]yeye na viatu vyake
Hatari sana mkuu, unaweza ukaamka asubuhi upo kusikojulikana
 
Unadhan chanzo n nn??
Nahisi anamahitaji makubwa ya hela ila bado sijui anafanyia nini maana kuna mwezi nilimpa nusu ya mapato yangu kwa ajili ya kuendesha shughuli zote za nyumbani kwa huo mwezi lakini nililipa mwenyewe bili zote za huo mwezi kwa nusu mwengine
 
Hii ndiyo raha ya JF.

Anauzwa alafu bei ya kutupa. Auzwe na viatu? Mpaka afike hapo hana tena viatu.

Yamebakia malapa ya uani. Ndiyo mkuu akimbie nazo.
Dah mbona ni kama vile mmeshaanza kupanga bei ya mimi kuuzwa???
 
Labda nyumban kwao wanashida sanaa na yeye ana tegemewa nyumbani kwao
Inawezekana, ila sidhani maana kusiku alinipiga kwa design hiyo, baada ya kumpigia mdogo wake simu alikanusha
 
Una watoto naye?
Mazuri yake ni yapi mkuu.
Ni dhahiri maamuzi ya kumuoa uliyafanya kwa hisia.
Pia naomba kabila lake.
Mtoto moja wa mwaka na miezi michache
Katika siku zake ana upendo sana
Ni sahihi nilioa kwa hisia
Kabila ni team Mbeya
 
Moja ya tatizo kubwa sana kwenye vichwa vya wanawake wasiojitambua ni kujiaminisha kwamba baada ya kuolewa wanakuwa wamepata mkataba wa kudumu wa kufanya wanavyotaka wao ndani ya ndoa, matokeo yake wanaishia kuachwa bila mpangilio.

Ndoa ni kukubali kuachana na ujana na mambo yote ya kijinga
 
Duh, huyo ana roho mchafu wa wizi, kama unampenda muombee na umpe onyo, akiendelea fukuza mbali, atakuja kukuaibisha
 
Moja ya tatizo kubwa sana kwenye vichwa vya wanawake wasiojitambua ni kujiaminisha kwamba baada ya kuolewa wanakuwa wamepata mkataba wa kudumu wa kufanya wanavyotaka wao ndani ya ndoa, matokeo yake wanaishia kuachwa bila mpangilio.

Ndoa ni kukubali kuachana na ujana na mambo yote ya kijinga
Mkuu nafikiri umenipa mwangaza wa kitu ambacho sikukifikiria. kuna muda nakafikiri ni heri ningemuoa baada ya kumaliza chuo. Tungeishia tu kwenye familia kujuana
 
Back
Top Bottom