Ndoa yangu inateketea

Ndoa yangu inateketea

Mwanamke akitaka yeye muachane, heshimu Sana uamuzi wake maana anakua tayari amepata mbadala.

By the way wengi tunatamani nafasi Kama hizo maana Kama ni Mimi ningetafuta mtoto mdogo ambaye bado kilomita hazijasoma Sana.

Mke akikuacha akirudi kwao usimrudishe kamwe.
 
Nashukuru kwa kunifariji mkuu,yaan kumpoteza mtu uliyemthamin na kushea mambo mengi inaumasana
Ukiweza kupiga moyo konde na ukaanza upya utakuwa umepata tiba ya kudumu na hakuna tena wa kukusumbuwa mbele ya safari.

Hapo unatafuta stroke, na stroke kwa mtu maskini ni mateso then kifo, dying in vain.
 
Wewe jali afya kwanza.
Then tafuta pesa,mbongo ,pakee.
Huyo utakutana nae tu huko mbele kituoni anakusubiri
 
Kuna vitu hujatuambia...umemfanyaje?..

inakuwaje mke anabadili kituo cha kazi kuja Dar?chanzo ni nini?.
Kuna wanawake waliolewa ili kutowa gundu tu, mnaweza kuishi pamoja na asikushirikishe mishe zake.

Mapenzi na ndoa yamekwisha siku hizi, Banana Zorro alishaimba kitambo tu.

Mahawara ndio wanaofurahia maisha kuliko wanandoa cha msingi mushiko iwe inakupitia tu.
 
Labda ujue tu kwamba ukweli wote unaujua na mkeo unamjua maana miaka 5 sio midogo...
nilichokiona kwako ni kukana ukweli kwamba ndoa imeshakufa...na kiukweli unajaribu kupambana nayo isife au unajaribu kukataa ukweli kuwa haijafa...
huyo mwanamke unampenda sana....!!!

Sasa Jifunge Mkanda Mwanaume nikwambie jambo...Mambo haya siku hizi si mageni na chanzo chake si kigeni...we umeachwa na umeachwa sababu huna pesa bhaas....

Acha kuufata moyo wako yatakupata makubwa kuliko yote uliyoyapata tokea utoto wako,fuata kichwa chako...sawa?

kama nilivyowaambia wenzio huko nyuma, nenda katafute hela nyingi sana na utafute mwanamke mwingine huyu msahau,au ukishapata hela umrudie ila jua kwamba zikiisha ataondoka maana ni hulka yake toka usichana wake...

Gundi ya ndoa ni Upendo...Na kwa sasa hivi Upendo Ingredients kubwa ni Pesa...Yaani kwenye Upendo pesa ndio imetengeneza 85%
ya upendo, Iwe kwenye Mapenzi au Mahusiano ya kirafiki au Kindugu,huna pesa huna chako

Pole...Pambana we Ni Baba na ni Mwanaume,ukilemaa...utakosa wa kukufuta machozi
 
Habari wana JF wote kwa ujumla,bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika.
Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu.
Ktk kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2.
mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi ni unga unga mwana pangu pakavu baada ya kampuni fulani ya mawasiliano niliyokua nafanya kazi kufungiwa na serikali kwa madai ya kukwepa kulipa na kuhujumu uchumi hivyo kesi bado iko mahakamani.lakini sijawahi kukosa rizik japo kipato changu ni kidogo ila upendo na furaha viliendelea kushamiri.
KUANZA TATIZO

Mambo yalianza kua mabaya ktk ndoa yangu pale tuu mke wang alivyohamishwa kikazi na kuja hapa Dar ktk chuo kikuu fulani mwaka huu mwez 3.hivyo mimi niliendelea kubaki mkoni kwa lengo la kujipanga ili nihamie dar ili niwe karibu na familia yangu.
Ifahamike kua uhamisho wake haukua wa malipo kutokana na yy ndo aliomba kuhamishwa hivyo alipofika hapa Dar alifikia kwao maana yeye ni mzaliwa wa hapa dar.
Baada ya miezi 2 kupita mimi pia nikatoka mkoani na kuja hapa Dar,ila nilifikia nyumban kwetu kwa wazazi wangu (Mkuranga)
Harakaki za kutafuta nyumba zikaanza,kwa bahati mbaya wakati sijalipia nyumba nikafiwa na mzazi wangu(baba) chakushangaza mke wangu hakuweza kufika msibani kwa madai ya kukosa ruhusa kazini.
Sikua na neno maana bado nilikua kwenye majonzi,baada ya msiba kumalizika nilinza kujisikia homa kali na kulazwa hospitali,baada ya vipimo niligundulika ni Covid 19,
Mungu alisaidia nikaruhusiwa na kuendelea na matibabu nyumban,
Wakati naendelea na matibabu mawasiliano na mke wangu yalikua ya tabu sana,simu za zilikua hazipaikan kwa madai mtoto wetu mdogo ameharibu simu yake hivyo ilinibidi niwe namtafuta mama mkwe kuongea na mke wangu,
Hali ya kimawasiliano ilizidi kua mbaya zaid kadri siku zinavyozidi kusonga mbele,akawa hanitafuti,mpaka mimi nimtafute yeye,upendo wake kwangu ulikua umepungua sana kwangu.
Maana hata kunijulia hali imekua vigumu kwake.
Kibaya zaid alinza kufuta account namba yake ya wasapu na kuwa online kupitia Facebook.nilivyomuuliza mbona nakuona online ushanunua simu nyingine?alinijibu kua ni ya ndugu yake wanaishi karibu pia namjua huyo mtu.
Nilimuomba namba ya simu anayoitumia ya huyo ndugu yake akanipa.
Chaajabu sasa nikipiga ile namba anapokea muhusika wa ile simu na ananimbia yy yuko mbali kidogo na mke wangu.
Hii hali ilinishangaza sana kwan mda ambao nachat na mke wangu Facebook ndo mda huo nimepiga simu baada ya yy kunipa hiyo namba na kaniambia ndo anaitumia kwenye hiyo simu,
Niliendelea kuvumilia hii hali kwakua sikua na jinsi maana bado naendelea na matibabu.
Hapa juzi kanitumia ujumbe kupitia Facebook anasema tuachane yy amechoka na maisha ya ndoa hivyo anahitaji kua single,haoni faida ya kua kwenye ndoa.
Kwa kwel moyo wangu wote ulikua unawaka moto kwa maumivi makari sana
Kwakua bado naumwa halafu nakutana na changamoto kama hii.
Ilinibidi nimtafute kwa kumpigia simu kupitia kwa mama ake akampa simu nikaongea nae.
Nilimuuliza kwan kipi kibaya ambacho nimekufanyia mpaka umefikia maamuz hayo ya kutaka tuachane?alinijibua kua yy amechoka na kudharauliwa hapo kwao maana inaonekama kama mimi nimemdamp tuu hapo kwao,
Nilimuuliza kwan hujui hali yangu ya kiafya kwasasa? Akanijibu kua anajua ila hayo ndo maamuzi aliyaamua kwan kichwa chake hakiko sawa,pia kazin kwake pia hajapandishwa mshahara hivyo hayuko sawa. Baada ya kuniambia hiyo alinikatia simu.

Ifahamike kua kipindi hiki chote ninachoumwa kaja kuniona mara moja tuu mpaka sasa ni mwez umekata hajaja kuniona.
Na mda huu yuko likizo haend kazin.

Naombeni ushauri wenu na mawazao nini nifanye kuinusuru ndoa yangu?hali yangu kiafya bado haija kaa sawa.ndoa inazidi kuniumiza msaada wenu tafadhali.
Pole sana, hapo huna jinsi mzee, mkeo amekuacha na kubali kuachika, naamin umewahi kuacha ilikuwaje pale uliyemuacha akiendelea kung'ang'ania kubaki nawew, najua ilikuwa kama kero kwako vivyo ndivyo itakavyokuwa kero kumng'ang'ania huyo mwanamke, najua inauma kwa kuwa ni mkeo wa ndoa ila hamna jinsi, pambana na maisha yako tafuta mwingine maisha yaendelee. Kubaliana naye kuachana na process divorce kabisa. Kila la kheri
 
Habari wana JF wote kwa ujumla,bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika.
Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu.
Ktk kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2.
mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi ni unga unga mwana pangu pakavu baada ya kampuni fulani ya mawasiliano niliyokua nafanya kazi kufungiwa na serikali kwa madai ya kukwepa kulipa na kuhujumu uchumi hivyo kesi bado iko mahakamani.lakini sijawahi kukosa rizik japo kipato changu ni kidogo ila upendo na furaha viliendelea kushamiri.
KUANZA TATIZO

Mambo yalianza kua mabaya ktk ndoa yangu pale tuu mke wang alivyohamishwa kikazi na kuja hapa Dar ktk chuo kikuu fulani mwaka huu mwez 3.hivyo mimi niliendelea kubaki mkoni kwa lengo la kujipanga ili nihamie dar ili niwe karibu na familia yangu.
Ifahamike kua uhamisho wake haukua wa malipo kutokana na yy ndo aliomba kuhamishwa hivyo alipofika hapa Dar alifikia kwao maana yeye ni mzaliwa wa hapa dar.
Baada ya miezi 2 kupita mimi pia nikatoka mkoani na kuja hapa Dar,ila nilifikia nyumban kwetu kwa wazazi wangu (Mkuranga)
Harakaki za kutafuta nyumba zikaanza,kwa bahati mbaya wakati sijalipia nyumba nikafiwa na mzazi wangu(baba) chakushangaza mke wangu hakuweza kufika msibani kwa madai ya kukosa ruhusa kazini.
Sikua na neno maana bado nilikua kwenye majonzi,baada ya msiba kumalizika nilinza kujisikia homa kali na kulazwa hospitali,baada ya vipimo niligundulika ni Covid 19,
Mungu alisaidia nikaruhusiwa na kuendelea na matibabu nyumban,
Wakati naendelea na matibabu mawasiliano na mke wangu yalikua ya tabu sana,simu za zilikua hazipaikan kwa madai mtoto wetu mdogo ameharibu simu yake hivyo ilinibidi niwe namtafuta mama mkwe kuongea na mke wangu,
Hali ya kimawasiliano ilizidi kua mbaya zaid kadri siku zinavyozidi kusonga mbele,akawa hanitafuti,mpaka mimi nimtafute yeye,upendo wake kwangu ulikua umepungua sana kwangu.
Maana hata kunijulia hali imekua vigumu kwake.
Kibaya zaid alinza kufuta account namba yake ya wasapu na kuwa online kupitia Facebook.nilivyomuuliza mbona nakuona online ushanunua simu nyingine?alinijibu kua ni ya ndugu yake wanaishi karibu pia namjua huyo mtu.
Nilimuomba namba ya simu anayoitumia ya huyo ndugu yake akanipa.
Chaajabu sasa nikipiga ile namba anapokea muhusika wa ile simu na ananimbia yy yuko mbali kidogo na mke wangu.
Hii hali ilinishangaza sana kwan mda ambao nachat na mke wangu Facebook ndo mda huo nimepiga simu baada ya yy kunipa hiyo namba na kaniambia ndo anaitumia kwenye hiyo simu,
Niliendelea kuvumilia hii hali kwakua sikua na jinsi maana bado naendelea na matibabu.
Hapa juzi kanitumia ujumbe kupitia Facebook anasema tuachane yy amechoka na maisha ya ndoa hivyo anahitaji kua single,haoni faida ya kua kwenye ndoa.
Kwa kwel moyo wangu wote ulikua unawaka moto kwa maumivi makari sana
Kwakua bado naumwa halafu nakutana na changamoto kama hii.
Ilinibidi nimtafute kwa kumpigia simu kupitia kwa mama ake akampa simu nikaongea nae.
Nilimuuliza kwan kipi kibaya ambacho nimekufanyia mpaka umefikia maamuz hayo ya kutaka tuachane?alinijibua kua yy amechoka na kudharauliwa hapo kwao maana inaonekama kama mimi nimemdamp tuu hapo kwao,
Nilimuuliza kwan hujui hali yangu ya kiafya kwasasa? Akanijibu kua anajua ila hayo ndo maamuzi aliyaamua kwan kichwa chake hakiko sawa,pia kazin kwake pia hajapandishwa mshahara hivyo hayuko sawa. Baada ya kuniambia hiyo alinikatia simu.

Ifahamike kua kipindi hiki chote ninachoumwa kaja kuniona mara moja tuu mpaka sasa ni mwez umekata hajaja kuniona.
Na mda huu yuko likizo haend kazin.

Naombeni ushauri wenu na mawazao nini nifanye kuinusuru ndoa yangu?hali yangu kiafya bado haija kaa sawa.ndoa inazidi kuniumiza msaada wenu tafadhali.
Pole sana rafiki
Zingatia kwanza afya yako, mengine yote yatawezekana ukiwa na afya nzuri.

Jambo hili ni zito na haupaswi kuzungumza na mkeo kwenye simu, ni jambo ambalo mnatakiwa kuonana face to face mzungumze. Kwa sasa hebu mpe nafasi ya kutafakari maamuzi yake wala usimpigie simu, na wewe ujipe nafasi ya kutafakari namna bora ya kulitatua hili jambo, utakapokua umepona umtafute mkeo kwa utulivu na uzungumze nae ili ujue ni nini kimepelekea yeye kuchukua maamuzi kama hayo, labda kuna sababu ambayo hajaweza kukueleza kwenye simu.

Kama ulivyosema kwamba ni mke wa ndoa, ni vizuri pia mkawashirikisha watu wenu wa karibu au hata wazazi hili jambo au wasimamizi wenu wa ndoa kama ikibidi

Mwisho wa yote, mkitumia njia zote za usuluhishi na mke akikataa, Mshukuru Mungu na usonge mbele ila uhakikishe watoto wako wanapata mahitaji yao pamoja na muda wako.

Mungu akufanyie wepesi
 
Si anataka kuachwa muache mzee, usilazimishe kijani kuwa nyekundu, kwanini ubembeleze mapenzi, utakufa bure kwa kufosi mambo. Kwani bila ya yeye wewe hupumui, kifupi hana mpango na ww na ukilazimisha atakuja kukupiga tukio moja uione june-july
Its not that easy makaveli10 kumbuka wana watoto na ni mke wa ndoa, ni kweli kulazimisha penzi haiwezekani lakini inabidi ajitahidi kutafuta suluhu au kujua shida iko wapi
 
Don't ever try to hold it!!.....Let her go

Wanawake WAPUMBAVU wenye mshahara, ukiwa umekwama kiuchumi ,ubongo wao huwaaminisha kua Wewe sio msaada tena kwao na Hivo anauwezo wa kujiendeshea maisha, na akipata Bwana mwingine wa kumsaidia basi atafika mbali..
Wanawake wapumbavu atataka muachane ili awe huru kwenye Bar, afanye matendo wanayofanya waschana...

Wanawake hawa wapumbavu, hawana Hofu ya Mungu.

Ninamjua mmoja, alifunga ndoa na Mumewe, bahati mbaya jamaa ni Injinia, hapa kati Kampun yao ilifilisika,,, Demu akachukua watoto na kuwapeleka kwao kwa wazazi wake..

Jamaa yake akaenda mkoa wa Jiran kuanzisha kakampuni..., Basi bwana huyu demu analiwaaa,, siunajua Ana Pesa ,magari n.k alafu umri miaka 33-35 , yaan mpaka juzi kati kaamua kuanza mchakato wa Kuvunja Ndoa.

Sasa unachopitia, ndo Jamaa anapitia. .

CHAKUFANYA....

Kama ni mimi, Ningehakikisha watoto nakua nao ,yaan niwachukue ( kama kiumri wako vzuri). .......huyo Demu wako ,akiwa nao, atawalishaga sumu kua wee ulikua mbaya mbayaa ulimtenda, watoto hawatokujua.

Pili, Ningeamua Kuachana naye bila hata kumwambia kua Ninakuachaa uendelee na yangu, UNGEMPOTEZEA ,UKIMPOTEZEA NA UKAPIGA KIMYA, UKIMYA NI SILAHA .

Tatu, ningendelea kujiboresha, kupambana, kutafuta kazi n.k , awe anasikia watoto wanakula, wanaishi vizuri, mnaenda kutembea nao, Yaan awe anakuona FB hukohuko kwenye mapicha picha.

Mwanamke ukishamzalisha watoto kuanzia wawili ,asikusumbue kwa kukoswa kwake akili.
 
Bwana asifiwe
 
Pole sana Mkuu,
Kitendo cha mke wako kutafuta uhamisho wa kwenda Dar, nyumbani kwao ilipaswa kukupa ishara kuwa kuna jambo baya katika ndoa yenu kwa upande wake...

Mke wako ni mtu anapenda vitu (material wife) na kazi alonayo inampa kiburi.
Na pia familia yake inahusika katika kumshauri vibaya.

Kama kweli unampenda mke wako, bas tafuta mganga wa kienyeji afanye yafuatayo,
1.Amfukuzishe kazi na asipate kazi milele na
2.Amrudishe kwako.

Kila la kheri...
Acha mawazo ya ulozi wewe
 
Labda ujue tu kwamba ukweli wote unaujua na mkeo unamjua maana miaka 5 sio midogo...
nilichokiona kwako ni kukana ukweli kwamba ndoa imeshakufa...na kiukweli unajaribu kupambana nayo isife au unajaribu kukataa ukweli kuwa haijafa...
huyo mwanamke unampenda sana....!!!

Sasa Jifunge Mkanda Mwanaume nikwambie jambo...Mambo haya siku hizi si mageni na chanzo chake si kigeni...we umeachwa na umeachwa sababu huna pesa bhaas....

Acha kuufata moyo wako yatakupata makubwa kuliko yote uliyoyapata tokea utoto wako,fuata kichwa chako...sawa?

kama nilivyowaambia wenzio huko nyuma, nenda katafute hela nyingi sana na utafute mwanamke mwingine huyu msahau,au ukishapata hela umrudie ila jua kwamba zikiisha ataondoka maana ni hulka yake toka usichana wake...

Gundi ya ndoa ni Upendo...Na kwa sasa hivi Upendo Ingredients kubwa ni Pesa...Yaani kwenye Upendo pesa ndio imetengeneza 85%
ya upendo, Iwe kwenye Mapenzi au Mahusiano ya kirafiki au Kindugu,huna pesa huna chako

Pole...Pambana we Ni Baba na ni Mwanaume,ukilemaa...utakosa wa kukufuta machozi
Labda niliweke vizuri, kwa tulipofikia tutapoteza muda bure na kuwalaumu bure mademu, lakini ukweli ni kwamba kwa sasa kama huna kitu hata ndugu zako wa damu hawana upendo na wewe achilia mbali marafiki.

Issue tupo kwenye siku za mwisho tunaangalia mambo juu juu tu hatutaki kusema ukweli, hakuna aliye salama kwa [emoji817] percent.
 
Ni kwel siko tayari kabisa kwa hilo maana hao ndo furaha yangu,pia suala la makazi halikua changamoto sana.ila nivyopata msiba na maradhi ndo hapo mambo yalivurugika.
Usikimbie vità, kama ni kuugua kaugulie kwako, ukizidiwa utapelekwa hospital na sio kurudi kwenu! Fight your own battle vinginevyo utampoteza mkeo na Watoto.

Hata ukilala njaa lala tu as far as uko kwako. Sikubaliani na sababu ya kukaa kwenu two months kwa kisingizio cha msiba na ugonjwa. Nakushauri kama Kaka yako, acha uzembe, acha kabisa hio kitu.

Kuna kitabu niliwahi kusoma sekondari, kuna mistari mle ndani inasema hivi "When you learn that the life of others depend on you, you don't have the right to be afraid even when you're terribly afraid" Ndoa yako na Watoto wako wanakutegemea wewe, hivyo huna na hutakiwi kuwa na haki ya kuogopa!

Jikaze, huu ni ukweli mchungu! Mwananmke anataka mwanaume ambaye ana sifa zote yaani wao ndio wanachojua tu, Fundi ujenzi wewe, Fundi umeme wewe, mkulima wewe, mlinzi wewe, Daktari wewe, bread winner wewe, Hakimu wewe, Polisi wewe, kibaka wewe, mtakatifu wewe (yaani usikutwe hata na SMS ya mwanamke mwingine), mwanariadha wewe, unatakiwa uwe mwembamba leo, kesho unatakiwa uwe baunsa, uwe dereva, uwe kila kitu. Na katika haya yote ukizeeka utaambuliwa kunyanyapaliwa but do it any way
 
Don't ever try to hold it!!.....Let her go

Wanawake WAPUMBAVU wenye mshahara, ukiwa umekwama kiuchumi ,ubongo wao huwaaminisha kua Wewe sio msaada tena kwao na Hivo anauwezo wa kujiendeshea maisha, na akipata Bwana mwingine wa kumsaidia basi atafika mbali..
Wanawake wapumbavu atataka muachane ili awe huru kwenye Bar, afanye matendo wanayofanya waschana...

Wanawake hawa wapumbavu, hawana Hofu ya Mungu.

Ninamjua mmoja, alifunga ndoa na Mumewe, bahati mbaya jamaa ni Injinia, hapa kati Kampun yao ilifilisika,,, Demu akachukua watoto na kuwapeleka kwao kwa wazazi wake..

Jamaa yake akaenda mkoa wa Jiran kuanzisha kakampuni..., Basi bwana huyu demu analiwaaa,, siunajua Ana Pesa ,magari n.k alafu umri miaka 33-35 , yaan mpaka juzi kati kaamua kuanza mchakato wa Kuvunja Ndoa.

Sasa unachopitia, ndo Jamaa anapitia. .

CHAKUFANYA....

Kama ni mimi, Ningehakikisha watoto nakua nao ,yaan niwachukue ( kama kiumri wako vzuri). .......huyo Demu wako ,akiwa nao, atawalishaga sumu kua wee ulikua mbaya mbayaa ulimtenda, watoto hawatokujua.

Pili, Ningeamua Kuachana naye bila hata kumwambia kua Ninakuachaa uendelee na yangu, UNGEMPOTEZEA ,UKIMPOTEZEA NA UKAPIGA KIMYA, UKIMYA NI SILAHA .

Tatu, ningendelea kujiboresha, kupambana, kutafuta kazi n.k , awe anasikia watoto wanakula, wanaishi vizuri, mnaenda kutembea nao, Yaan awe anakuona FB hukohuko kwenye mapicha picha.

Mwanamke ukishamzalisha watoto kuanzia wawili ,asikusumbue kwa kukoswa kwake akili.
Upo sahihi ila ningekuwa mimi asingeziona hata hizo picha Facebook.
Maisha lazima yaendelee
 
Back
Top Bottom