Mpe muda atulie na hakikisha huendelei kumkwaza kwenye maeneo mengine ya mahusiano yenu.Wadau naombeni ushauri wenu.
Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.
Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.
Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini β nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?
Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Kabisa namba muhimuHapo bado hujasema. Eleza tatizo na uweke namba ya mkeo hapa tumpe ushauri akurudie.
Wewe umbea tu umekujaa. Ebu mshauri. πππUlifanya nini hadi wafanyakazi wenzie wajue?bado hujasema vizuri hapa
Fanya kufunguka zaidi kuhusu kosa lako upate ushauri,.. Au ulilewa Pombe ukachafua hali ya Hewa.?? MaybeWadau naombeni ushauri wenu.
Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.
Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.
Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini β nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?
Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
π€£π€£π€£π€£lazima tujue kwanza kafanyaje!kiini cha tatizoWewe umbea tu umekujaa. Ebu mshauri. πππ
Haijalishi nini kiini gani cha tatizo,kumdhalilisha mbele ya wafanya kazi wenzake haiwezi kua justification hata kama alikua kakosea kitu gani.π€£π€£π€£π€£lazima tujue kwanza kafanyaje!kiini cha tatizo
Ulifanya nini hadi wafanyakazi wenzie wajue?bado hujasema vizuri ha
Sawa Asante Mungu akubarikiKwanini umdhalilishe mkeo mbele ya wafanyakazi wenzake?
Hata kama alikua kakosea jambo,ungemsemesha akiwa peke yake,
Haijalishi umemdhalilisha vipi,kumdhalilisha mbele ya wafanyakazi wenzake is more than enough,
Kama huja zaa nae,achana nae,tafuta atakaye kuvumulia kwa kumdhalilisha mbele ya watu.
I guarantee you; "Things will never be the same again, hata akikusamehe".Wadau naombeni ushauri wenu.