Ndoa yangu matatani baada ya mke wangu kudai nimemdhalilisha

1. Kosa namba moja ni kwenu wote wawili kusababisha mambo yenu ya ndani yatoke nje ya chumba, hii imenifanya niamini kwamba ndo yenu inaishi zaidi kama cinema na kujikweza nje ya ninyi wawili.

2. Jambo la pili kama mwanaume ukisha muomba mkeo msamaha ndani hakuna sababu ya kuionyesha jamii kwamba ikuombee msamaha, sababu naona nikama hiyo ndoa inasaidiwa zaidi kuwepo na watu wa nje na sio kwa mapenzi yenu.

3. Tatu, una mwanamke mwenye kibri na anaependa sympathy kutoka kwa watu ili aonekane yeye ana power over you.

4. Nne, naona wewe unampenda zaidi mkeo kuliko yeye anavyo kupenda bro.
Ebu fanya mambo mengine kama mke hataki kukisikiliza wewe basi kausha na endelea na maisha.
Nikitaka kuongeza mke wa tatu, nitakuja kula madini mkuu. Una experience yenye hekima sana kuhusu ndoa na mahusiano, nimeona comments zako kwenye mambo yahusuyo haya mambo zipo too deep, kwa mwenye akili akizitumia anatoboa. 🙏
 
Wadau naombeni ushauri wenu.
Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.
Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.
Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini — nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?
Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Ulimwambia ananuka kwapa?

Maelezo umeturundikia kama viazi bila aya halafu hakuna ulipoeleza ulichofanya
 
Umemdhalilishaje mkuu? Nini kilitokea? Embu elezea
.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
 
1. Kosa namba moja ni kwenu wote wawili kusababisha mambo yenu ya ndani yatoke nje ya chumba, hii imenifanya niamini kwamba ndo yenu inaishi zaidi kama cinema na kujikweza nje ya ninyi wawili.

2. Jambo la pili kama mwanaume ukisha muomba mkeo msamaha ndani hakuna sababu ya kuionyesha jamii kwamba ikuombee msamaha, sababu naona nikama hiyo ndoa inasaidiwa zaidi kuwepo na watu wa nje na sio kwa mapenzi yenu.

3. Tatu, una mwanamke mwenye kibri na anaependa sympathy kutoka kwa watu ili aonekane yeye ana power over you.

4. Nne, naona wewe unampenda zaidi mkeo kuliko yeye anavyo kupenda bro.
Ebu fanya mambo mengine kama mke hataki kukisikiliza wewe basi kausha na endelea na maisha.
Kaka mkubwa Asante sana Mungu akupe miaka ya kobe
 
Wadau naombeni ushauri wenu.
Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.
Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.
Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini — nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?
Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
jipe likizo ya kuonana nae ama kuwasiliana nae kwa muda kidogo gentleman,

na itapendeza zaidi ukija na comeback ya heshima na ya kibabe zaidi in love yenye focus ya solution, na bilashaka yoyote atakuelewa na mtasort tofauti zenu kwa upendo, na hatimae mtasonga mbele vizuri tu na kwa amani .

usipanic wala kubabaika sana 🐒
 
.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Oya bro. Hujafanya kosa lolote. Atakuumiza kichwa uyo.

Umeshajishusha, sasa umebakisha kujidharirisha. Nashauri piga kimya.
 
.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Ni hayo tu? Sasa mbona hapo hauna kosa lolote?
 
jipe likizo ya kuonana nae ama kuwasiliana nae kwa muda kidogo gentleman,

na itapendeza zaidi ukija na comeback ya heshima na ya kibabe zaidi in love yenye focus ya solution, na bilashaka yoyote atakuelewa na mtasort tofauti zenu kwa upendo, na hatimae mtasonga mbele vizuri tu na kwa amani .

usipanic wala kubabaika sana 🐒
Thanks big broo I will do
 
Mwanaume usijibebishe hata kama umekosea,kaza fuvu mpe muda.Akisimamia msimo wake,jua imeisha hiyo.
Anza upya,ila usirudie makosa.
 
Atakublockluwa badae, akipunguza ghadhabu na hasira. Isije kuwa alikuwa anakutafutia gape akunyooshe maana dunia ya siku hizi ngumu sana kuwaelewa watu. Pole sana mkuu, kaza moyo ( hakuna mambo yasiyo soviwa labda mke awe hakutaki )
nimejikuta nacheka kwa hako kaneno @atakublockluwa umetisha kamanda
 
.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Ni hivi tuu au kuna part umeruka? Maana hapo hakuna kosa la mke kudhalilika hadi kukublock.
Au mfanyakazi uliyekuwa unawasiliana nae mkahama malengo??
 
Back
Top Bottom