Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
📌😄😄😄ukiona men amefikia hiyo stage,jua mambo yafuatayo;Inategemea na uliongea Nini na huyo co-worker wake.
Kwa maelezo haya hukustahili kumuomba msamaha Kama alisafiri bila kukupa taarifa, Tena akakaa kimya siku 3.
Hapo umekosea sana. Sasa atakuendesha mno.
Pili inaonekana unampenda kupitiliza na una wivu uliopitiliza.
Cha kufanya kaa kimya usimbembeleze Tena, akikutafuta mwambie "nilifanya kosa kubwa sana kumuomba msamaha lengo kuepesha mgogoro mkubwa. Kiukweli na haki umenikosea kusafiri bila kunitaarifu".
Baada ya hapo usimtafute au usiniweke karibu yake kwa Sana Kama zamani.
Ukiona hababaiki, hatafuti msamaha Wala kuonesha ameathirika na uamuzi wako. Jua huyo hakuoendi na huenda ana mtu mwingine.
Tafuta mtu mwingine.
Iwapo umemzalisha watoto vumilia hiyo jela mukee watoto wenu.
1.Aliingia kwenye ndoa huku hajakomaa kihisia na kimaamuzi.
2.Hata umshauri vipi🤗🤗🤗 maushauri yenu hayafui dafu pindi tu akimuona,kupigiwa simu au kutumiwa text na huyo mwanamke WANAYEMGONGEA.Hiyo stage huwa lazima victim azimalize zile STAGEA ZOTE ZA GRIEVING ndio anaweze kurudi kawaida.Tofauti na hapo ni kutwanga maji kwenye kinu!!!
Over and out!!!!