Ndoa yangu matatani baada ya mke wangu kudai nimemdhalilisha

Ndugu zangu nmejaribu kuwaweka wazi ni wapi hapajaeleweka vema viongozi mmi nipo hapa kupata uafadhali kaka.
Kwa maelezo yangu mwanamke alisafiri ghafla apo sku tatu simu haipo hewani nikapiga simu Kwa mfanayakazi ambaye ndye kama bosi after kuongea nae yeye kanipa taarifa alisafiri katka maongezi yetu akaniambia niendelee kuuliza Kwa ndugu kuuliza Kwa ndugu hayupo ilibdi nimrudie hewani hyo Mkuu wake ktk maongezi ikawa usalama wake kwanza mbili hisia za kuwa na mtu mwingne ktk hilo zikatawala,
Huyo Mkuu kuniuliza una miaka mingapi bnfsi niljmjibu four years after that kauliza je miaka hyo hamjabahatika kupata watoto nikamjibu Bado tukawa tumeishia hapo.
Matokeo yake nini,matokeo yake baada ya mwanamke kurudi alidai nmemzalisha mbele ya wafanyakazi wenzake Kwa kuwaambia kuwa hazai,Hana msaada wowote,na kudai ameambiwa Nina mke mwingne na la mwisho kabsa kunihusisha na uchawi kitu ambacho hakuna.
Hitimisho lake ni kuniblock mazima😁😁😁 kijana wenu nje na hapo Kila kitu kilikuwa vizuri haswa
 
Watu wa aina hii hawakawii kusikika wamejinyonga au wamechoma kisu mkewe au kumuua mke wake sababu wanaona wakieleza vinavyo wasibu ni udhaifu.
Mngeshanya hvo kabla sijaandika hapa kufika hapa maana yake hcho hakiwezi kutokea katu hapa ni kupata mawaidha Kwa jeiefu
 
1. Kosa namba moja ni kwenu wote wawili kusababisha mambo yenu ya ndani yatoke nje ya chumba, hii imenifanya niamini kwamba ndo yenu inaishi zaidi kama cinema na kujikweza nje ya ninyi wawili.

2. Jambo la pili kama mwanaume ukisha muomba mkeo msamaha ndani hakuna sababu ya kuionyesha jamii kwamba ikuombee msamaha, sababu naona nikama hiyo ndoa inasaidiwa zaidi kuwepo na watu wa nje na sio kwa mapenzi yenu.

3. Tatu, una mwanamke mwenye kibri na anaependa sympathy kutoka kwa watu ili aonekane yeye ana power over you.

4. Nne, naona wewe unampenda zaidi mkeo kuliko yeye anavyo kupenda bro.
Ebu fanya mambo mengine kama mke hataki kukisikiliza wewe basi kausha na endelea na maisha.
5.Aombe likizo aende akajipumzishe mbali na hapo alipo.Apunguze muda wa kushinda shinda home na mawasiliano meeengi.
Futa namba za Mkeo na najua unazo kichwani..Futa kwenye simu yako haraka sana utapona..hasa ukiwa mbali.
Wacha kuwasiliana na watu wengi hasa wa karibu na cirlce yenu.

6.Tafuta sehemu zenye michezo mingi na watu wenye kujua kupuuzia maisha hasa ya mahusiano.

"Najua pole yako na msamaha wako haviwezi ponyesha maumivu yangu kwa kosa ulilofanya,havitosaidia lolote"

Kauli hii ilinifanya nisionekane wala kusikika popote kwa six months.
Kauli za kushushana thamani kama vile wengine ni malaika kumbe wote gizani ni wachafu kupindukia.
Nilikubaliana na kosa sikulazimisha kusamehewa na Malaika huyo..nilikaa pembeni.
Tunaofanyana ni sisi na tuliotongozana ni sisi iweje wahusike watu wengine kuja kutuombesha msamaha..hiyo ni roho mbaya na chafu kabisa.
Kuna maisha mengine hata kama hutosamehewa...hukuwa sehemu ya huo Upendo toka awali.
 
Mpe mapumziko ya mwezi mmoja kwanza, usimtafute subiri yeye akutafute.
 
Kipindi hatari sana kwako iko mkuu

Akiwa kwenye hali hiyo akitokea mjinga akirusha ndoani tu inanasa na anamvua kiuraini na anaenda kumla , so jitahidi na ulazimishe kuwa karibu naye kama unampenda

Yaani hapo mtu akimjaribu tu kumtokea nayeye anatoka beki hazikabi wajinga wanapiga magoli kiuwepesi sana

Mpaka akirudi kwako jamaa anakuwa anajipigia kisela kila anapo muhitaji
Usimjaze ujinga ,mwanaume upaswi kuendeshwa na hisia bali kila jambo tumia ubongo,akifata ushauri wako atazidi kujidhalilisha na kujiumiza kiakili na kihisia
 
Watu wa aina hii hawakawii kusikika wamejinyonga au wamechoma kisu mkewe au kumuua mke wake sababu wanaona wakieleza vinavyo wasibu ni udhaifu.
Muache aendelee kukaa nalo moyoni, limmalize,
Ni ujinga kukaa na jambo moyoni
 
Ndugu zangu nmejaribu kuwaweka wazi ni wapi hapajaeleweka vema viongozi mmi nipo hapa kupata uafadhali kaka.
Kwa maelezo yangu mwanamke alisafiri ghafla apo sku tatu simu haipo hewani nikapiga simu Kwa mfanayakazi ambaye ndye kama bosi after kuongea nae yeye kanipa taarifa alisafiri katka maongezi yetu akaniambia niendelee kuuliza Kwa ndugu kuuliza Kwa ndugu hayupo ilibdi nimrudie hewani hyo Mkuu wake ktk maongezi ikawa usalama wake kwanza mbili hisia za kuwa na mtu mwingne ktk hilo zikatawala,
Huyo Mkuu kuniuliza una miaka mingapi bnfsi niljmjibu four years after that kauliza je miaka hyo hamjabahatika kupata watoto nikamjibu Bado tukawa tumeishia hapo.
Matokeo yake nini,matokeo yake baada ya mwanamke kurudi alidai nmemzalisha mbele ya wafanyakazi wenzake Kwa kuwaambia kuwa hazai,Hana msaada wowote,na kudai ameambiwa Nina mke mwingne na la mwisho kabsa kunihusisha na uchawi kitu ambacho hakuna.
Hitimisho lake ni kuniblock mazima😁😁😁 kijana wenu nje na hapo Kila kitu kilikuwa vizuri haswa
Kifupi mwanamke wako, amekudharau, anakuona anakumudu... piga chini, la sivyo hapo utakuja ishia
1. jela kwe kesi ya kuua, ama kumdhuru
2. Hospital kwa maradhi konki, mf. Figo. Moyo etc.
 
Mke wako amekublock kila mahali;

Hiyo ndoa ni ya mtandaoni au nini
 
Kwa uzoefu wangu na utu uzima wangu katika kuhusiana na hawa viumbe wanawake nasikitika ya kwamba umeingia mzima mzima kwenye mtego muhimu kwa wanawake na umeanguka kwenye mtihani mkubwa katika maisha ya kuhusiana na wanawake!!!!

Wanawake ni mabingwa waliobobea kwenye sekta ya MANIPULATIONS za kila aina......na kabla hajakuingiza huko atakupa MITIHANI kadhaa na mitego ambayo ukiingia maana yake umeingia kwenye dunia nyingine ya manyanyaso na mateso for the rest of your life.......

Dah!!
Nina hakika kwa ninavyowajua wanawake huko alipo kwa kadri unavyoongeza kuomba msamaha yeye ndio anazidi kucheka tu kimoyo moyo au naarafiki zake......

Ningekushauri jambo lakini tayari umeshachelewa mtego umeshakuvaa na tayari umeshajimaliza kwa mkeo vya kutosha mpaka kuja kuomba USHAURI mitandaoni.......

Cha kukusaidia tu ni kwamba next Unapo deal na mwanamke weka au jiweke mbali Sana na hisia na mihemko.....na uziweke akili zako mbele kama kitambi.....hapo utamuona mwanamke katika rangi yake halisi na utagundua jinsi gani walivyo wajinga wajinga.........

Epuka Sana kupaniki unapokosana na mwanamke.....kupaniki kwako kutakuondolea umakini na ndio hatua ya kwanza ya ushindi kwa mwanamke.......

Vile vile nakuhusia mdogo wangu nenda taratibu kwenye kuutaka msamaha kwa huyo malkia wa moyo wako kwani hakuna unaweza kufanya kumbakisha mwanamke aliyeamua kuondoka!!!!!
 
Nawashukuru sana wadau wote kwa mawazo, ushauri na michango yenu kuhusiana na sakata langu la ndoa. Kuna waliotoa mawazo mazuri sana, Mungu awabariki kwa moyo wenu wa kunijali. Pia kuna walioleta utani na kunifanya nitabasamu, Mungu akubarikini pia.

Bado nawakaribisha kuendelea kutoa mchango, ushauri na mawazo yenu kwani yana maana kubwa kwangu. Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami.
 
Kwa uzoefu wangu na utu uzima wangu katika kuhusiana na hawa viumbe wanawake nasikitika ya kwamba umeingia mzima mzima kwenye mtego muhimu kwa wanawake na umeanguka kwenye mtihani mkubwa katika maisha ya kuhusiana na wanawake!!!!

Wanawake ni mabingwa waliobobea kwenye sekta ya MANIPULATIONS za kila aina......na kabla hajakuingiza huko atakupa MITIHANI kadhaa na mitego ambayo ukiingia maana yake umeingia kwenye dunia nyingine ya manyanyaso na mateso for the rest of your life.......

Dah!!
Nina hakika kwa ninavyowajua wanawake huko alipo kwa kadri unavyoongeza kuomba msamaha yeye ndio anazidi kucheka tu kimoyo moyo au naarafiki zake......

Ningekushauri jambo lakini tayari umeshachelewa mtego umeshakuvaa na tayari umeshajimaliza kwa mkeo vya kutosha mpaka kuja kuomba USHAURI mitandaoni.......

Cha kukusaidia tu ni kwamba next Unapo deal na mwanamke weka au jiweke mbali Sana na hisia na mihemko.....na uziweke akili zako mbele kama kitambi.....hapo utamuona mwanamke katika rangi yake halisi na utagundua jinsi gani walivyo wajinga wajinga.........

Epuka Sana kupaniki unapokosana na mwanamke.....kupaniki kwako kutakuondolea umakini na ndio hatua ya kwanza ya ushindi kwa mwanamke.......

Vile vile nakuhusia mdogo wangu nenda taratibu kwenye kuutaka msamaha kwa huyo malkia wa moyo wako kwani hakuna unaweza kufanya kumbakisha mwanamke aliyeamua kuondoka!!!!!
Asante kaka nashukkru pia
 
Back
Top Bottom