Ndoa yangu matatani baada ya mke wangu kudai nimemdhalilisha

3. Tatu, una mwanamke mwenye kibri na anaependa sympathy kutoka kwa watu ili aonekane yeye ana power over you.
Kwanini inaonekana mwanamke ana kibri wakati jamaa hajafunguka ili tujue uzito wa kosa?
4. Nne, naona wewe unampenda zaidi mkeo kuliko yeye anavyo kupenda bro.

Nani ana stahili kumpenda mwenziwe zaidi
 
.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Inategemea na uliongea nini na huyo co-worker wake.
Kwa maelezo haya hukustahili kumuomba msamaha kama alisafiri bila kukupa taarifa, Tena akakaa kimya siku 3.
Hapo umekosea sana. Sasa atakuendesha mno.
Pili inaonekana unampenda kupitiliza na una wivu uliopitiliza.

Cha kufanya kaa kimya usimbembeleze tena, akikutafuta mwambie "nilifanya kosa kubwa sana kukuomba msamaha lengo kuepesha mgogoro mkubwa. Kiukweli na haki umenikosea kusafiri bila kunitaarifu".
Baada ya hapo usimtafute au usijiweke karibu yake kwa sana kama zamani.

Ukiona hababaiki, hatafuti msamaha wala kuonesha ameathirika na uamuzi wako. Jua huyo hakupendi na huenda ana mtu mwingine.
Tafuta mtu mwingine.
Iwapo umemzalisha watoto vumilia hiyo jela mulee watoto wenu.
 
Umemdhalilisha vipi?...Isije ikawa si udhalilishaji Bali ni hisia zake Tu ndo zimemtuma!, halafu mbona kama unalia Sana mkuu, wanaume halisi hatuko hivyo maana utaendeshwa Sana Mzee!
 
Wadau naombeni ushauri wenu.

Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.

Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.

Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini — nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?

Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Weka wazi Umefanya KOSA gani iwe rahisi kushauliwa kuficha jambo ni mbaya sanaa

NB. Mimi ni mkimya sana sio mwongeaji kabisa...wife ananipenda sana sana.

Ndoa yangu imeingia kidudu mtu..nime chepuka akajua now ni WW3 pia issue ya pombe hataki ninywe japo nakunywa responsible tena jioni baada ya kazi.

Now wife ameacha kuniamini hope Huwa najiambiaga MAMBO MENGI NI JAMBO LA MUDA

KILA KITU KITAKAA SAWA WITH TIME.
 
Kipindi hatari sana kwako iko mkuu

Akiwa kwenye hali hiyo akitokea mjinga akirusha ndoani tu inanasa na anamvua kiuraini na anaenda kumla , so jitahidi na ulazimishe kuwa karibu naye kama unampenda

Yaani hapo mtu akimjaribu tu kumtokea nayeye anatoka beki hazikabi wajinga wanapiga magoli kiuwepesi sana

Mpaka akirudi kwako jamaa anakuwa anajipigia kisela kila anapo muhitaji
 
Weka wazi Umefanya KOSA gani iwe rahisi kushauliwa kuficha jambo ni mbaya sanaa

NB. Mimi ni mkimya sana sio mwongeaji kabisa...wife ananipenda sana sana.

Ndoa yangu imeingia kidudu mtu..nime chepuka akajua now ni WW3 pia issue ya pombe hataki ninywe japo nakunywa responsible tena jioni baada ya kazi.

Now wife ameacha kuniamini hope Huwa najiambiaga MAMBO MENGI NI JAMBO LA MUDA

KILA KITU KITAKAA SAWA WITH TIME.
Ameweka kaka. Cheki reply #25
 
Umemdhalilisha vipi?...Isije ikawa si udhalilishaji Bali ni hisia zake Tu ndo zimemtuma!, halafu mbona kama unalia Sana mkuu, wanaume halisi hatuko hivyo maana utaendeshwa Sana Mzee!
Cheki #25 ameweka
 
Cha kuongezea kwenye maoni ya wadau usiyabebe kama yalivyo

Maana wao wanakushauri kulingana na maneno uliyoleta na ukweli wa mambo una ujua mwenyewe
 
1. Kosa namba moja ni kwenu wote wawili kusababisha mambo yenu ya ndani yatoke nje ya chumba, hii imenifanya niamini kwamba ndo yenu inaishi zaidi kama cinema na kujikweza nje ya ninyi wawili.

2. Jambo la pili kama mwanaume ukisha muomba mkeo msamaha ndani hakuna sababu ya kuionyesha jamii kwamba ikuombee msamaha, sababu naona nikama hiyo ndoa inasaidiwa zaidi kuwepo na watu wa nje na sio kwa mapenzi yenu.

3. Tatu, una mwanamke mwenye kibri na anaependa sympathy kutoka kwa watu ili aonekane yeye ana power over you.

4. Nne, naona wewe unampenda zaidi mkeo kuliko yeye anavyo kupenda bro.
Ebu fanya mambo mengine kama mke hataki kukisikiliza wewe basi kausha na endelea na maisha.
Kikao cha WANAUME TUMEAMUA HAKUNA USHAURI MWINGINE KWA MLETA MADA ZAIDI YA HUU.
 
.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Kuna mawili
1. Kubali ndoa ife ili uanzishe maisha yako mengine ya furaha na amani.
2. Kubadli kuendelea kuwa mtumwa ndani ya hiyo ndoa.

Mwisho kabisa, kubalini kuokoka, maisha yenu yawe chini ya muongozo wa MUNGU.
 
Kwanza nakupongeza kwa kutaka ndoa yako isivunjike.

1. Usiwatumie watu wasio na staha kwenda kwake kukuombea msamaha, maana hujui ni wanafiki kiasi gani au huwa wanaenda kuongea nn kwake.

2. Usiwatume mashoga zake au wanaojiita Viongozi wa dini, labda wawe viongozi wa kiroho.

3. kabla haujaanza kumtafuta au kuongea naye piga magoti chini muombe MUNGU wako kwa imani yako, ili kabla haujamfikia kuongea naye kimwili basi MUNGU wako awe ameongea naye kiroho
-huwezi kuulanisha moyo wa mtu kirahisi bila MUNGU kuingilia kati..

4. huyo yupo katika panic mode ya hali ya juu. tafuta wazazi wako, wazazi wake(wakwe zako), eleza kila kitu, omba msamaha.
-hao ndo binadamu pekee wanaweza kuwa na uchungu na ndoa yako.

5. achana na mawazo yanayolenga kuvuruga ndoa yako.

NB: TAFUTA HELA BROO.
KAMA HUYO NI MKEO, NI KOSA KUBWA KUMUACHA, KAMA NI MCHEPUKO MAAMZI YOTE YAPO MKONMI MWAKO.

lakin, tafuta hela kaka!
 
Wazoefu wanasema
1.Siku zote usimuombe msamaha mkeo.
Hata kama kakushika mchana kweupe.
Wewe umefanya kosa sawa, ila umekuza kosa kwa kumuomba msamaha tena umedai kwa unyenyekevu. Hapo tayari umeshusha hadhi yako ya uanaume.

2. Hutakiwi kuishi na mwanamke kama partner wako au mpenzi wako. Yaani usiruhusu mazingira mwanamke akaona mko sawa. Ili ni kosa kubwa.
Ishi na mkeo kama mwanao.
 
Umemwambia maneno gani mboni hujayaweka weka hayo maneno
Kaka maneno yal

Nashukkru sana Kwa ushauri mzuri umeeleza vizuri 🙏🙏
 
Wazoefu wanasema
1.Siku zote usimuombe msamaha mkeo.
Hata kama kakushika mchana kweupe.
Wewe umefanya kosa sawa, ila umekuza kosa kwa kumuomba msamaha tena umedai kwa unyenyekevu. Hapo tayari umeshusha hadhi yako ya uanaume.

2. Hutakiwi kuishi na mwanamke kama partner wako au mpenzi wako. Yaani usiruhusu mazingira mwanamke akaona mko sawa. Ili ni kosa kubwa.
Ishi na mkeo kama mwanao.
Ndio maan nmekuja kwenu
 
Ndio maan nmekuja kwenu
Wew tulia endelea na ishu zako.
Kama anaona umuhinu wa kuendelea na hio ndoa atakuja.
Ukiona hajirudi ujue haoni umuhimu, maana yake hata hilo unaloona umemkosea si kosa, ila yeye ana lengo lake tuu.
 
.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika

POLE SANA KIONGOZI
Hii inaonekana ni Long distance relationship ambayo unatakiwa uwe makini sana na usipanic.
Kwa maelezo yako, Inaonekana kuna kitu huja andika hapa tukaelewa, pengine ulivyo muita malaya ILA
Wanawake walio olewa wakiwa makazini huwa wanajiproud sana na wanaume zao; hivyo ukiharibu kazini kwake ujue unamuharibia sana CV, ndio sababu amekasirika hivyo ILA sio rahisi kukuacha ILA anataka kukukomesha usirudie tena hiyo njia uliyoitumia.
Inaonekana na wewe uli muhukumu bila kumsikiliza sasa wewe unataka akusikilize?
Nikuulize; Uliweza kujua kwa nini alisafiri kwenda mahala hapatikani bila kukuambia?
Pengine alisahau simu yenye namba zako, simu ilipotea, iliisha charge? hapakuwa na mtandao?, aliona akimbie chap na kurudi mambo ikabadilika, simu ikaisha charge nk nk nk
USIWE MWEPESI WA KUHUKUMU KABLA YA KUMSIKILIZA MTU!
 
Wadau naombeni ushauri wenu.

Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.

Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.

Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini — nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?

Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Sema tu ukweli, sio kwamba unampenda wala nini, ila unaogopa tu talaka itasabisha achukue sehemu ya ukwasi wako, thats all..

You probably coudn’t care less about her…
 
Back
Top Bottom