Ndoa yangu matatani baada ya mke wangu kudai nimemdhalilisha

.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Shtuka mzee!

Mtu anapata safari ya ghafla, hakwambii.

Unajaribu kumpigia, hapatikani.

Siku tatu mfululizo.

Unajaribu kumtafuta anakwambia unamdhalilisha.

Hebu amka mzee!

Red flags huzioni tu?
 
Wadau naombeni ushauri wenu.

Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.

Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.

Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini — nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?

Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Ameshakusamehe.

I hate it niombe msamaha halafu mtu aendelee kukaza fuvu.

Hapo wewe uko safi, hayo mengine ni juu yake mdau
 
POLE SANA KIONGOZI
Hii inaonekana ni Long distance relationship ambayo unatakiwa uwe makini sana na usipanic.
Kwa maelezo yako, Inaonekana kuna kitu huja andika hapa tukaelewa, pengine ulivyo muita malaya ILA
Wanawake walio olewa wakiwa makazini huwa wanajiproud sana na wanaume zao; hivyo ukiharibu kazini kwake ujue unamuharibia sana CV, ndio sababu amekasirika hivyo ILA sio rahisi kukuacha ILA anataka kukukomesha usirudie tena hiyo njia uliyoitumia.
Inaonekana na wewe uli muhukumu bila kumsikiliza sasa wewe unataka akusikilize?
Nikuulize; Uliweza kujua kwa nini alisafiri kwenda mahala hapatikani bila kukuambia?
Pengine alisahau simu yenye namba zako, simu ilipotea, iliisha charge? hapakuwa na mtandao?, aliona akimbie chap na kurudi mambo ikabadilika, simu ikaisha charge nk nk nk
USIWE MWEPESI WA KUHUKUMU KABLA YA KUMSIKILIZA MTU!
Umezungumza kweli kaka tajitahdi
 
Wadau naombeni ushauri wenu.

Niko kwenye hali ngumu sana ya ndoa yangu na sijui nifanye nini tena. Nimemkosea mke wangu kwa namna ambayo imefanya ajisikie kudhalilika mbele ya wafanyakazi wenzake. Maneno yamesambaa sana, jambo ambalo limemuumiza zaidi kuliko nilivyodhani.

Nilishaomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa na nikamwambia niko tayari kurekebisha makosa yangu, lakini amekataa kabisa kunisikiliza. Ameniblock kila sehemu, hataki mawasiliano yoyote na mimi, na hata watu wanaojaribu kumuomba anisamehe hawapewi nafasi. Kitu kinachoniumiza zaidi ni kwamba amenihukumu bila hata kunipa nafasi ya kueleza upande wangu.

Najua kosa linaweza kuwa limevunja imani yake na siwezi kumlazimisha anisamehe, lakini bado nampenda na sitaki ndoa yangu ivunjike hivi hivi. Kwa sasa najiuliza nifanye nini — nimwache kwanza apoe kimya kabisa, au niendelee kutafuta njia ya kumuonyesha kuwa najutia kweli?

Naombeni ushauri wenu wadau, hasa waliowahi kupitia hali kama hii. Nifanye nini ili nisiharibu zaidi mambo?
Mkuu ungelitandaza ulichomkosea ili tuingie mzigoni kushauri.

Kila kosa lina angle zake namna ya kushauri.

Mfano ushauri kuhusu uzinzi hauwezi kulingana na ushauri uhusuo ubadhirifu wa mali nk nk.

Weka kosa lako hapa.
 
Huu mkasa umeuanza ghafla bin vuu,hujatupa maelezo ya kutosha hivyo inakuwa vigumu kukushari.Hata hivyo,migogoro kwenye ndoa ipo tu na haiepukiki na siyo kitu cha ajabu.Sasa zingatia yafuatayo:
1.Ndoa ni yenu 2 na nyie pekee ndio mtakaoujengavau kuibomoa hiyo ndoa.
2.Ni wewe mwenyewe ndio tafuta njia ya kuongea nae,kumbuka kuwa huyo huwa mnalala nae uchi wa nyama hamuwezi kushindwana
 
Mkuu ungelitandaza ulichomkosea ili tuingie mzigoni kushauri.

Kila kosa lina angle zake namna ya kushauri.

Mfano ushauri kuhusu uzinzi hauwezi kulingana na ushauri uhusuo ubadhirifu wa mali nk nk.

Weka kosa lako hapa.
Jambo la kwanza kaka ni yeye kusafiri bila kunipa taarifa siku tatu maelezo yake ni kuwa mgonjwa na simu iliharibika according to here
Kosa langu mim kuongea na wafanyakazi wenzake baada ya yeye kutompata hewani hizo siku
Na katk maongezi yetu na hyo yalikuwa ya kawaida tu mosi aliniuliza kwann huna taarifa bee yake je una mda gani nikajibu four years kingne akaniambia inabdi uwe makini ni hvo na namna ya kuishi na kusolve lakin kipengele kimekua nna mkee nmetamka maneno magumu Kwa wafanyakazi wenzake ubaya hakunipa nafasi zaidi ya suluhisho kuniblock pasina kuskia upande mwingne
 
IMG_8620.jpeg
 
Kama kosa ndilo hilo, jaribu ku relax kwanza ili kutoa muda wa jaziba zake kudecrease.

Kama ni jaziba za kibibadamu haziwezi kudumu zaidi ya mwezi kabla hazijashuka.

Nikipima hapo 'kosa lako' halipo ingawa umeshajihukumu mwenyewe nadhani sababu ya upendo.

Ukiona mwanamke kaanza kukupanda kichwani hata kwa vikosa vya kijingajinga, vaa cheo chako cha mume huku ukimpima mienendo yake ya kila siku kitabia.

Usipokuwa mwangalifu penzi laweza kuwa lilishavunjika siku nyingi kabla ya kosa hili kufanyika ikawa unatafutwa mtego ipatikane sababu.

Ukishindwa kugundua viashiria na visababishi kwa sababu ya kuvaa miwani ya love hauwezi kufanya lolote la maana kudhibiti hali hiyo kama mume.

Sasa ukigundua kinachomsababishia kiburi, chukua hatua madhubuti mapema haraka iwezekanavyo ili kulinda heshima na hadhi yako ya baba.
 
Kama nimeelewa vizuri maelezo yako ,sijaona kosa lako maana ulijawa na wasiwasi kutokana na kutoonekana kwa mkeo kwa siku tatu bila maelezo yyt.

Mwanamke akishakutoa kwenye mipango yake ya kindoa achana naye vinginevyo utaumia. Mwanzoni itakuwia ngumu sana lakini kadri muda unavyosonga mbele utapaona na maisha yanaendelea.

Nina wasiwasi huenda huyo mkeo ana mwanaume mwingine nje na wewe.
 
How comes unaomba msamaha kwa mwanamke,wanawake watu wapumbavu sana,akishakusoma madhaifu yako atakudrive hadi uione Dunia chungu.

Sijawahi omba msamaha kwa mke wangu,Mimi ni mjuaji sana akileta taharuki Huwa naigeuza inakuwa yake na baadae yeye mwenyewe anaomba msamaha.

In any means kwangu Mimi sioni sababu ya kuomba radhi kwa mke wangu,mwanamke huombwa radhi kwa kumfanyia kile anachokipenda zaidi bila ya mwanamume kutamka neno nisamehe.

Niko kwa ndoa yangu kwa zaidi ya miaka 15,sijawahi omba radhi kwake na tunaishi kwa amani bila tatizo lolote

NB mke wangu anapenda kitimoto na ndizi,akinuna au nikimkosea Huwa naenda kununua nampokia anakula dheni amani inarudi
 
Mwambie kama hataki kukusamehe basi aondoke unamuangalia tu anaendelea kula ugali wako hapo🏃🏃🏃🏃
 
Jambo la kwanza kaka ni yeye kusafiri bila kunipa taarifa siku tatu maelezo yake ni kuwa mgonjwa na simu iliharibika according to here
Kosa langu mim kuongea na wafanyakazi wenzake baada ya yeye kutompata hewani hizo siku
Na katk maongezi yetu na hyo yalikuwa ya kawaida tu mosi aliniuliza kwann huna taarifa bee yake je una mda gani nikajibu four years kingne akaniambia inabdi uwe makini ni hvo na namna ya kuishi na kusolve lakin kipengele kimekua nna mkee nmetamka maneno magumu Kwa wafanyakazi wenzake ubaya hakunipa nafasi zaidi ya suluhisho kuniblock pasina kuskia upande mwingne
Hao wafanyakazi wenzie walikuwa nae au uliwapigia kwa ajili ya kumtafuta tu?..

Nachojua wafanyakazi wengi ni wambeya sana na huwezi jua mkeo anaishi nao vipi na wewe kuongea nao. Imemuathiri mkeo kwa kiasi gani kwa kuleta marital affairs ofisini

Lakini pia, kitendo cha kukaa siku tatu bila kukupigia ilitosha kukuelewa kutapatapa kwako kulitokana na nini. Pengine nmmngeweza solve kwa sababu pande zote mbili kuna makosa ila kwa sababu uliamua kulibeba lote kama lako. Bhasi limekuweka hapo ulipo

Sikushauri cha kufanya, wewe ndio unamjua mkeo, kama hakuna maneno makubwa au makosa mengine makubwa ambayo umeshawahi kuyafanya na pengine hili ni kilele tu "kukinai".

Mpe chance akae peke yake na usijishushe kupitiliza hadi akajiona hayupo responsible kwa kitu kilichotokea.. She is responsible too na pengine unyenyekevu wake ndio unampandisha jeuri. Ijali heshima na hadhi yako ya kiume mkuu
 
.Ukweli ni kwamba tatizo lote lilianza pale alipopata safari ya ghafla bila kuniambia. Nilipompigia na kumukosa kwa siku tatu, nikaanza kuwa na wasiwasi mkubwa. Hata nilipopiga kituoni nikaambiwa haupo, ndipo nikawa nawasiliana na mfanyakazi mwenzako kutaka kujua kama yuko salama.
Mwanzoni yalikuwa mazungumzo ya kawaida tu ya kuulizana hali yako, lakini baadaye mambo yakabadilika na maneno mengi ya kashfa yakaanza kusambaa. Nikaanza kuonekana mchawi, nikasemwa sifai kuwa na mwanamke au familia, na maneno mengi mabaya yaliendelea kuzungumzwa.
Pamoja na yote hayo, sikutaka vita wala lawama ziendelee. Ndio maana nilichagua kuwajibika
Sijaelewa kama Kuna kitu unaficha elezea nini chanzo cha huu ugomvi wenu
 
Katombewa mke,mke kasafiri bila taarifa na kwenye simu hapatikani siku 3 mfululizo,jamaa anamuomba mkewe msamaha ila mke amekaza.
Najua utachanganyikiwa ila story ndio hiyo,me mwenyewe story siielewi
Asiwe dhaifu kwa mwanamke msalitii.

Kwanza kama jamaa...hajamfanyia baya mkewe..aseme isije kua mkewe kafanya revenge.

All in all, jamaa Kuna kitu anatuficha aseme ukweli tutajua pa kuanzia
 
Back
Top Bottom