Ndoa yangu matatani baada ya mke wangu kudai nimemdhalilisha

📌😄😄😄ukiona men amefikia hiyo stage,jua mambo yafuatayo;

1.Aliingia kwenye ndoa huku hajakomaa kihisia na kimaamuzi.

2.Hata umshauri vipi🤗🤗🤗 maushauri yenu hayafui dafu pindi tu akimuona,kupigiwa simu au kutumiwa text na huyo mwanamke WANAYEMGONGEA.Hiyo stage huwa lazima victim azimalize zile STAGEA ZOTE ZA GRIEVING ndio anaweze kurudi kawaida.Tofauti na hapo ni kutwanga maji kwenye kinu!!!


Over and out!!!!
 
Acha utumwa na unyonge wa ndoa Mwanaume wewe
ishi maisha yako kama hataki kuombwa msamaha aise
Unakuwa mtumwa wa mtu kisa unampenda
Unakosa amani mpaka unakuja kulialia hapa JF
Jua yeye akiwa kazini hakuwaziii wewe tena
Pengine amepata sababu na pakuanzia jambo lake
 
Huenda yeye ana makosa makubwa kuliko wewe unayelialia hapa. Mkeo anaanzaje kukublock ili awasiliane na Nani. Angalia isijekuwa alikuwa anatafuta ukosee kidogo atimize Mambo yake
Nmeamua kumtumkia Mungu mkuu
 
Kupenda upofu,hapo lazima ujikane kudadeki, umenasa mtego mbaya sana.

📌ROHO INAPENDA NAFSI INAUMIA,TULIA HIVYOHIVYO UKICHOMOKA HUMO GEREZANI UTAKUWA AIDHA MAITI AU MASKINI ZAIDI YA HAPO ULIPO😄😄😄
Nmeacha Kila kitu wakulungwa nilitaka tu ushauri
 
Nmewasikia wakuu wangu siwezi kufa kizembe hivo
 
Hapana sijabaka kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…