MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
kasome waefesoAgano jipya halijazungumzia chochote kuhusu kukataza kuoa mke moja, uje na ushahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kasome waefesoAgano jipya halijazungumzia chochote kuhusu kukataza kuoa mke moja, uje na ushahidi
Unauhakika hazifuati maandikoYes!! Ndoa za kikristo haifati maandiko kikamilifu, rudia kusoma uzi nimeshaelezea
Tukianza na viapo tu hapo, Hivi viapo kumbuka vilitungwa na viongozi wa makanisa na wala havipo sehemu yoyote kwenye biblia,,,
Hata sheria za kuhalalisha ushoga zinatungwa na kupitishwa na viongozi wa nchi wanaotumia utashi wao,,,, unalijua hilo ??Kwani ulitaka viapo vya ndoa vitungwe na nani mkuu? Au Yesu ashuke atunge? Hata Biblia imeandikwa na wanaadamu, Mungu ametupa utashi wa kujiongoza au kutengeneza miongozo ndio maana hata nchi inakua na viongozi, sheria za nchi zinatungwa na wanaadamu na hii yote ni utashi ambao mwanadamu amepatiwa na Mungu.
Kwanza maandiko mengi yanakandamiza wanawake. Halafu mjue Biblia kuna vitabu vingi tu havijaandikwa kwenye Biblia.Mathayo 19:8-10
Yesu akajibu, “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu mlikataa kupokea mafundisho ya Mungu. Lakini talaka haikuruhusiwa hapo mwanzo. 9 Ninawaambia kuwa, kila anayemtaliki mke wake, isipokuwa kutokana na uzinzi, na akamwoa mwanamke mwingine, anazini.”
Hili ni agano jipyaAgano jipya halijazungumzia chochote kuhusu kukataza kuoa mke moja, uje na ushahidi
kasome waefeso 5Agano jipya halijazungumzia chochote kuhusu kukataza kuoa mke moja, uje na ushahidi
Mathayo 19:8-10Asante kwa jibu,
Unaelewa kitu gani kuhusu maandiko ? Kwa akili yako ndogo kwenye elimu ya biblia umeandika kwamba Musa alioa mke zaidi ya moja kwasababu alikuwa malaya, Mtu uliewahi kusoma biblia unasemae Musa aliongeza mke kwasababu ya umalaya ??Kwanza maandiko mengi yanakandamiza wanawake. Halafu mjue Biblia kuna vitabu vingi tu havijaandikwa kwenye Biblia.
mpaka aelewe huyoMathayo 19:8-10
Yesu akajibu, “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu mlikataa kupokea mafundisho ya Mungu. Lakini talaka haikuruhusiwa hapo mwanzo. 9 Ninawaambia kuwa, kila anayemtaliki mke wake, isipokuwa kutokana na uzinzi, na akamwoa mwanamke mwingine, anazini.”
Mkuu wewe kama unaona mke mmoja hakutoshi oa wanaokutosha weweMusa alipooa mke zaidi ya moja alikuwa na ;engo la kuzaa kama Panya ??
Anakuja kupotosha watu Mara kwenye biblia haijaandikwa nimemletea na ushahidimpaka aelewe huyo
Wewe umeleta ushauri ganiUsije na maneno matupu, njoo na ushahidi wa kupinga
Acha ujinga wako weweMusa aliewakomboa wa israel kwa nguvu zake Mungu na kutuletea amri 10 alikuwa malaya ?