Ndoa za kikristo hazifati maandiko ya kwenye biblia, zinafata sheria za viongozi wa makanisa

Yes!! Ndoa za kikristo haifati maandiko kikamilifu, rudia kusoma uzi nimeshaelezea

Tukianza na viapo tu hapo, Hivi viapo kumbuka vilitungwa na viongozi wa makanisa na wala havipo sehemu yoyote kwenye biblia,,,
Unauhakika hazifuati maandiko
Mathayo 19:8-10
Yesu akajibu, “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu mlikataa kupokea mafundisho ya Mungu. Lakini talaka haikuruhusiwa hapo mwanzo. 9 Ninawaambia kuwa, kila anayemtaliki mke wake, isipokuwa kutokana na uzinzi, na akamwoa mwanamke mwingine, anazini.”
 
Kwani ulitaka viapo vya ndoa vitungwe na nani mkuu? Au Yesu ashuke atunge? Hata Biblia imeandikwa na wanaadamu, Mungu ametupa utashi wa kujiongoza au kutengeneza miongozo ndio maana hata nchi inakua na viongozi, sheria za nchi zinatungwa na wanaadamu na hii yote ni utashi ambao mwanadamu amepatiwa na Mungu.
Hata sheria za kuhalalisha ushoga zinatungwa na kupitishwa na viongozi wa nchi wanaotumia utashi wao,,,, unalijua hilo ??
 
Fata dini unayoona inakufaa bila kupigia wengine kelele
 
Mathayo 19:8-10
Yesu akajibu, “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu mlikataa kupokea mafundisho ya Mungu. Lakini talaka haikuruhusiwa hapo mwanzo. 9 Ninawaambia kuwa, kila anayemtaliki mke wake, isipokuwa kutokana na uzinzi, na akamwoa mwanamke mwingine, anazini.”
Kwanza maandiko mengi yanakandamiza wanawake. Halafu mjue Biblia kuna vitabu vingi tu havijaandikwa kwenye Biblia.
 
Agano jipya halijazungumzia chochote kuhusu kukataza kuoa mke moja, uje na ushahidi
Hili ni agano jipya
Mathayo 19:8-10
Yesu akajibu, “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu mlikataa kupokea mafundisho ya Mungu. Lakini talaka haikuruhusiwa hapo mwanzo. 9 Ninawaambia kuwa, kila anayemtaliki mke wake, isipokuwa kutokana na uzinzi, na akamwoa mwanamke mwingine, anazini.”
 
Asante kwa jibu,

Anaelijua hili pambio tuimbe wote;
Neno litasimamaaa×2
Mambo yote yatapita lakini neno litasimama.
Kwakomtoa mada kama umeuchoka Ukristo hamia mlango wa pili ni ruksa
 
Kwanza maandiko mengi yanakandamiza wanawake. Halafu mjue Biblia kuna vitabu vingi tu havijaandikwa kwenye Biblia.
Unaelewa kitu gani kuhusu maandiko ? Kwa akili yako ndogo kwenye elimu ya biblia umeandika kwamba Musa alioa mke zaidi ya moja kwasababu alikuwa malaya, Mtu uliewahi kusoma biblia unasemae Musa aliongeza mke kwasababu ya umalaya ??
 
Mathayo 19:8-10
Yesu akajibu, “Musa aliwaruhusu kuwataliki wake zenu kwa sababu mlikataa kupokea mafundisho ya Mungu. Lakini talaka haikuruhusiwa hapo mwanzo. 9 Ninawaambia kuwa, kila anayemtaliki mke wake, isipokuwa kutokana na uzinzi, na akamwoa mwanamke mwingine, anazini.”
mpaka aelewe huyo
 
Musa alipooa mke zaidi ya moja alikuwa na ;engo la kuzaa kama Panya ??
Mkuu wewe kama unaona mke mmoja hakutoshi oa wanaokutosha wewe
Mbona hii kitu ni free willing ya mtu binafsi

Kamwe huwezi kubadilisha misimamo ya dini hata kama ni viongoz waliiweka wao

Wewe fanya kile unachoona kinakupa furuha maishani mwako

Usipoteze muda wako hapa
We endelea kufanya uzinzi wako hakuna wakukusumbua na sisi tunaomba usitusumbue
 
Umelazimishwa kuwa mkristu? Badili dini, ukibadili dini na ndoa inakuwa batili
 
Fata dini unayoona inakufaa bila kupigia wengine kelele
Dini isiyofata maandiko ni hatari kwa waumini, huweka mwanya wa viongozi wa kanisa kukitungia sheria zao
 
Back
Top Bottom